Maoni ya January Makamba kuhusu Umeme hapa Facebook!

kachumbari

Senior Member
Nov 1, 2010
125
8
January Makamba
“The power crisis is a result of failure of planning and leadership at TANESCO and at the Ministry of Energy and Minerals”

Je huyu mtu ni mkweli? au anatafuta Umaarufu?
 
Mitoto ya kishua bana, plagiarism hadi kwenye siasa, anatafuta uhodari huyo kobe.
 
January Makamba
"The power crisis is a result of failure of planning and leadership at TANESCO and at the Ministry of Energy and Minerals"

Je huyu mtu ni mkweli? au anatafuta Umaarufu?
So what next Mr January Makamba?????
 
January Makamba
"The power crisis is a result of failure of planning and leadership at TANESCO and at the Ministry of Energy and Minerals"

Je huyu mtu ni mkweli? au anatafuta Umaarufu?

Anayoyasema kijana ni ya ukweli.
Lakini wote tunayajua, pole yake amechelewa sana kuyajua inaonekana.
Sasa yeye anatuambia sisi ili iweje? Tumwone anayajua sana matatizo ya hii nchi?
Hili limekuwa tatizo la la wanasiasa vijana wa ccm, wanatafuta umaarufu bila kujua kama wao ni sehemu ya uozo.
Katika namna hii, namuona JM ni kama mtu asiyejitambua na mpenda sifa wa kawaida katika siasa zinazoanguka za ccm.
 
Kwa nafasi ya ubunge na mwenyekiti wa kamati ya uchumi na mipango aje na hoja kuwawajibisha hao walioshindwa kufanya kazi na proposal zakeaziweke wazi kufaniwa kazi siyo kubwabwaja kama baba yake, Tunataka kuona results za kazi inayofanyika siyo maneno
 
Sawa January kasema kweli lakini nani wakutekeleza ili mambo yaende sawa tuondokane na masahibu haya?
 
makamba ni makamba tu hata kama iwe january ama February... Si huyu jamaa alikuwa ni mjumbe wa ile kamati ya nishati na madini? nini alicholeta?
 
January Makamba
"The power crisis is a result of failure of planning and leadership at TANESCO and at the Ministry of Energy and Minerals"

Je huyu mtu ni mkweli? au anatafuta Umaarufu?

Kweli hii ndio sababu kuu au kuna mengine kaamua kuyaweka kapetini, mbona hajazungumza suala la wizara na taasisi nyingine za serikali kutolipa madeni yao ya umeme? mbona hajazungumza suala la kampuni ya umeme kuwa kama ni kitega uchumi cha mafisadi ili waweze kufisadi zaidi katika nishati na madini, hivyo basi TANESCO ni kama boya tu! na si vinginevyo.
Huyu bwana mdogo ni hana tofauti na mchawi anayelia sana kwenye msiba kumbe yeye ndiye muuja, kwa hiyo asituletee usanii wa Tanzania kabisaaaa. Hatudanganyiki, kama ameweza kuwadanganya wana bumbuli asidhani ya kuwa hatatudanganya wote. Tena akiendelea kutudanganya tutaanza kumchimbua vilivyo hadi hajione hatoshi kwenye nafasi za uongozi walizopeana kifisadi.
 
yeye si mmoja wao! Kwa nini apige kelele facebook?
Watu waliopo ccm wamekubali uozo uliopo ccm. Wakae kimya au watoke ccm...
 
January anatafuta umaarufu tu hana jipya, kwanza kwenye siasa za Bongo yeye bado mtoto mdogo sana anayasema asiyoyajua ili kupata umaaruafu ni walewale tu hana jipya Baba yake ameiua CCM kwa uongozi wake mbovu sasa yeye atatuambia nini,anadhani kwa kupiga kelele sana miaka ijayo atakua rais wa nchi hii.
Kama ana nia safi apeleke hoja binafsi Bungeni na asimamie hoja yake mpaka mwisho labda tutamuelewa lakini siyo vinginevyo.
 
January Makamba
“The power crisis is a result of failure of planning and leadership at TANESCO and at the Ministry of Energy and Minerals”

Je huyu mtu ni mkweli? au anatafuta Umaarufu?

Angesema kuwa "The power crisis is a result of failure of planning and leadership at CCM and IKULU" ningempa 10. Tofauti na hapo ni kubwabwaja na kutafuta umaarufu. Tofauti ya January na baba yake ni kuwa January hatumii vifungu vya biblia au kuran katika maongezi yake au speech, lakini vinavyobaki ni the same.
 
Wana siasa(WARONGO NA WABABAHISHAJI) siku zao zina hesabu inaniuma sana wanavyo wadrive technical personal halafu wanasema wameshindwa kazi .

Professional people wanawapa mapendekezo ya kiufundi mnaendekeza siasa na porojo tatizo sio uongozi wa tanesco tatizo ni ccm na serikali hebu waache wakina muhando wafanye kazi tuone kama watashindwa. Kuna some issue ambazo ni technical utasikia lijitu linakuja kutolea maelezo, eleza kile unachokielewa .

Wewe January ni ngwini utaendelea kuwa ngwini OMBI LANGU HEBU WAACHE TANESCO WAFANYE KAZI TUONE . I DONT THINK KAMA EMERGENCY POWER BACK UP NI MAWAZO YA KINA MUHANDO NA WATU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI .

WAKATI WANAJUA KUNA VYANZO VINGI VYA UMEME . UROHO WENU NYINYI WASIASA NA BIASHARA ZENU HIZO NDO MNAAZOOFISHA TANESCO KWA KUENDEKEZA HAYO MARICHMOND MADOWANS SIJUI IPTL WAKATI NCHI INA VYANZO VINGI VYA UMEME .

NAJUA TANESCO WATAKUWA NA POWER SYSTEM MASTER PLAN LAKINI SIDHANI KAMA SERIKALI INAWASIKILIZA.
 
Back
Top Bottom