Huyu hata Hayati aliwahi kumuonya kwa kuwaza 2025
Lukuvi hayumo, duh
Lukuvi hayumo, duh
Ni ulaji tu wanaendekeza na kulipa fadhilaHagaya ni utopolo
Lukuvi ana shida gani?
Kabudi naye!
Lukuvi
Kabudi
Una maana hawa jamaa ni wavivu?
Wanafanya kwa ajiri ya upande uleLukuvi
Kabudi
Una maana hawa jamaa ni wavivu?
Nimemshangaa sana huyu Rais...aisee amepuyanga...sasa Ridhiwani anaweza nini hahahahaLukuvi hayumo, duh
Uko wapi mbona haujaupandisha hapa jukwaani, vinginevyo utuambie nani yumo nani Chali🤔.Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu. Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.
Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu. Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Germany yule mama ni waziri mkuu (counselor) na sio Raisi, Raisi wao nadhani ni mwanaume!Hili baraza limeonyesha kiwango kikubwa sana cha insecurity, kiufupi jinsia inaathiri utendaji wa mama yenu.
Yes hakuna nchi yoyote iliyowahi kufanikiwa kwa kuongozwa na mwanamke kama kiongozi mkuu kabisa except Germany, ni swala la muda tu.
Sasa Kigwangwala hapo mbona haonekani ?Ikulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
Mlishaambiwa ina wenyewe sema mmeshupaza shingo.Sema nini hii nchi waliopata nafasi ya kuichuma wataendelea kuichuma siku zote
Mwambie hela zinaenda kujaa mtaani ajiandae kuneemeka haswaa!!Weka la kwako,hili ni la kwake kwa kadri aonavyo linafaa