Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

On my view:

Magufuli alifanikiwa sana kwenye uchaguzi kutokana na ufanisi kila kona kutokana na mawaziri aliokuwa nao.

Ushindi wa CCM 2025 utakuwa determined sana na perfomance ya hili baraza.
 
Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu. Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.

Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu. Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Uko wapi mbona haujaupandisha hapa jukwaani, vinginevyo utuambie nani yumo nani Chali🤔.
 
Tulieni, Chama Cha Mapinduzi kina wenyewe


SURATI%20ZUBAA%20%20Ndio%20surati%20zubaa%2C%20pengine%20tumesomewa%2C%20Sivyo%20tusingebung'a...jpg
 
Hili baraza limeonyesha kiwango kikubwa sana cha insecurity, kiufupi jinsia inaathiri utendaji wa mama yenu.

Yes hakuna nchi yoyote iliyowahi kufanikiwa kwa kuongozwa na mwanamke kama kiongozi mkuu kabisa except Germany, ni swala la muda tu.
Germany yule mama ni waziri mkuu (counselor) na sio Raisi, Raisi wao nadhani ni mwanaume!
 
Ikulu
Mkuchika

Utumishi
Mhagama
Ndejembi

Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo

Makamu wa Rais
Jafo
Hamis hamis


Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga

Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi

Fedha
Mwigulu
Chande

Ulinzi
Tax

Ndani
Masauni
Sagini

Katiba
Simbachawene
Pinda

Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku

Kilimo
Bashe
Mavunde


Mifugo
Mashimba
Ulega

Ardhi
Mabula
Kikwete

Maliasili
Ndumbaro
Masanja

Nishati
Makamba
Byabato

Madini
Biteko
Kiluswa

Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya

Viwanda
Kijaji
Kigahe

Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel


Elimu
Mkenda
Kipanga

Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis

Maji
Jumaa aweso
Mahundi

Utamaduni
Mchengerwa
Gekul

Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
Sasa Kigwangwala hapo mbona haonekani ?

Watu%20wameanza%20kufukua%20makaburi%20_joy__joy__joy_%20kosa%20la%20%20%40hamisi_kigwangalla%...jpg
 
Hatuwezi kuifanya nchi kama kampuni?
Tunaingia mkataba na watu kuhusu mambo tunayotaka, tunakaa pembeni wao waendeshe?

Tumeshadhihirisha mara nyingi kwamba sisi mambo ya utawala na kusimamia mambo yalete maendeleo hatuko vizuri sana.

Tunawezakuamua kuwa na mfumo wetu tu. Hao jamaa ndio watahangaika na kusimamia kila kitu.

Rais na watu wachache sana wasiozidi kumi, kazi yao ku oversee kama tunaenda kwa kadri ya makubaliano.

Nchi masikini, tunachoma pesa kwa kurudia mambo yale yale. Sio afya.
 
Masauni ni wa znz pia
naona huu mwaka spika nae atoke tu znz
Waziri mkuu nae znz!

Hivi akina Kabudi, Mkuvi na wengine hata Majaliwa
si wajitoe ccm?
Kweli hii nchi imekuwa genge sasa!

Upinzani hii ndiyo nafasi pekee ya kuingia Ikulu
huenda Mungu amejibu maombi yenu
Cha msingi mleteni mtu sahihi!
 
Back
Top Bottom