nimewahi kumtongoza binti wa kiislam/mpemba kwa lugha ya ndoa akagoma kwa madai kuwa kiimani hakuna ndoa kati ya dini tofauti. Nilimuelewa kwa sababu hata ktk ukristo ndoa kt ya dhehebu kwa dhehebu inaleta shida hasa ukitaka ibada ya ndoa.
Uislamu umekuja kuwatoa watu katika ujinga ndo maana waislamu wanajitolea kwa hali na mali kuelimisha watu katika njia iliyonyooka. Hapa tunazungumzia waumini sio muislamu Jina. "Allah hakuzaa wala hakuzaliwa wala hana aliyefanana nae" Apo ni ukweli mtupu ndugu yangu
huyo alikua ni binti na ni lazima akujibu hivyo kwani Binti wa kiislamu haruhusiwi na dini olewa na mkristo ...ila mwanaume ni sahihi funga muoa binti wa kikristo....
Mwanamke wa ki Islam kabanwa hapo hata kama kapenda vp.. upo
Cc bidodo
Red''''= nilisha kombolewa zamani na Mungu ninaye muamini mimi ndio huyo wewe wamuamini, hivyo uislamu si ukombozi.
Blue'''=umeandika kashfa na ni kejeli... so unaharib mfungo wako,,, or else ni Muislam jina....
Mkuu naona kama hukunitendea haki, sikutaka kusema maoni yangu kwasababu imekaa kidini zaidi tena upande mmoja na nishaona mwisho wake. Kuna watu wamejieleza vizuri tu lakini naona tutarudia pale pale, aisee nimefunga sitaki kuharibu siku yangu leo.
Pole kwa saumu (au niseme heri kwa saumu???). Si ndio tunataka uongee hata kama ni ishu ya kidini, ndio mazungumzo yenyewe!
well i need this topic dem wang muislam tuna mjadala mzito tufunge ndoa gan....Naomba kufahamu , ni kwanini Waislam hawako tayari dada/mabinti zao kuolewa na Wkristo wakati wao wanaoa dada zetu(WAKRISTO) ,,
Taqfadhali maoni.
NO OFFENCE PLEASE.
well i need this topic dem wang muislam tuna mjadala mzito tufunge ndoa gan....
Hapo huwezi kufunga nae ndoa kwani yeye ni muislamu na dini haimruhusu kufanya hivyo. Kuenda kinyume ni kumshirikisha Mungu. Ispokua kama wewe utaslimu na kuwa muumin basi utaruhusika kumuowa ila sio kwa kumfata mwanamke ndio ubadili dini haitasihi. Kwani amali zote hufungamana na nia na mtu hufanya alilolinuia. Kama utaikubali dini ya haki basi utaruhusika kumuowa la si ivo BIG NO
kwa mwanaume wa kiislam au kikristo ili kama unampenda mpenzio na wa dini tofauti kupunguza mikanganyiko ya nan amfuate nan we mzalishe tu kesi ya kidini inajisolve automatically...atakufuata tu..Hii kitu haipo hata kidogo ndugu tena haiwezekani, wengi wanaofanya hivyo kama ambavyo amesema member mmoja hapo juu, huyo muislam atakuwa hajui thamani na vigezo vya dini ya kiislam, ndo maana inatakiwa ifike time wakristo waweze kutofautisha waislam(mfano: ISSA PONDA,AMIR FAREED, ALLY MSELEM) na watu wenye majina ya kiislam( mfano: mufti SHAABAN SIMBA,alhaj MUSSA SALUM(kadhi wa mkoa dar)). Nadhani hapo nimeelweweka!
acha ndoa! lakini sisi ambao hatuuamini uislamu tunaitwa makafili......
Hapo sasa umenena!
Kwa elimu yangu ndogo, nahis Waislamu kuoa wakiristo ni kama mission flan ya kutoa watu kizani na kuwaleta kwenye nuru ya uislamu thus why wanakataa watoto wao kutolewa katika nuru na kuingizwa kizani.
No offence!
kwa imani ya dini ya kiislamu, ukristo ni giza(si dini ya kweli) hivyo wakristo kwa ujumla wapo kwenye upotevu ulio mkubwa, ni nadra sana kukuta mzazi wa kiislamu kumruhusu mwanae(binti) kuplewa na mkristo kwa maana ya kutotaka kumtia gizani. Aidha hata kwa watoto wa kiume ambao wanataka kuoa mabinti wakikristo ni vigumu sana wazazi kukubaliana nao unless binti akubali kubadili dini kuingia uislamu.