"neno mgando" haya maneno ndiyo msamiati wenu siku hizi mkishindwa hoja.una mawazo mgando kama akili yako uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo
"neno mgando" haya maneno ndiyo msamiati wenu siku hizi mkishindwa hoja.una mawazo mgando kama akili yako uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo
mkuu umesahau mwaka 2010 kikwete alimkimbia dr slaa kwenye mdahalosize ya SLAA alikuwa YUSUFU MAKAMBA, acha kumdhalilisha rais Kikwete
labda rais mtarajiwa wa watu kaskazini
mkuu mbona liko waz ndo slaa alishnda 2010 ccm mkafanya hujuma safari hii mtakiona cha mtema kuni
hata kaskazini si watanzania, watanzania siyo wajinga wakabidhi wachagga nchiraisi wa watanzania chaguo letu hatuna imani na ccm tena
mkuu umesahau mwaka 2010 kikwete alimkimbia dr slaa kwenye mdahalo
subiri keshokutwa mwaka 2015 midahalo ianze safari sijui mtakimbilia wapYsufu Makamba alitosha kummaliza, yuko wapi sasa na midahalo yake ya ITV?
Dr.Slaa ahutubie kama nani rais kivuli au nani?Haya ni maoni yangu usijenge chuki.
Pamoja na mambo lukuki yalitokea 2014 yakionyesha taifa kukosa mwelekeo nashauri Dr. Slaa ahutubie taifa mwishoni mwa mwaka ku-adress mambo muhimu.
Hatujui hatima ya katiba mpya, kuna suala la Escrow tunahitaji msimamo,kingine ni kuhusu Uchaguzi, nadhani tumeona dalili za umwagaji damu katika uchaguzi wa serikali za mitaa
"neno mgando" haya maneno ndiyo msamiati wenu siku hizi mkishindwa hoja.
Dr.Slaa ahutubie kama nani rais kivuli au nani?
moyo wako unajua,sema unafiki umekujaaDr.Slaa ahutubie kama nani rais kivuli au nani?
subiri keshokutwa mwaka 2015 midahalo ianze safari sijui mtakimbilia wap
mkuu umesahau mwaka 2010 kikwete alimkimbia dr slaa kwenye mdahalo
kama rais wa mioyo ya watanzania
size ya SLAA alikuwa YUSUFU MAKAMBA, acha kumdhalilisha rais Kikwete
Labda moyo wa baako mzazi sio mioyo ya watanzania nyie mnashida kweli..........kafe mbele usituletee mada za kipuuzi