Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

Haya ni maoni yangu usijenge chuki.

Pamoja na mambo lukuki yalitokea 2014 yakionyesha taifa kukosa mwelekeo nashauri Dr. Slaa ahutubie taifa mwishoni mwa mwaka ku-adress mambo muhimu.

Hatujui hatima ya katiba mpya, kuna suala la Escrow tunahitaji msimamo,kingine ni kuhusu Uchaguzi, nadhani tumeona dalili za umwagaji damu katika uchaguzi wa serikali za mitaa

Dr. Slaa atakuwa mgeni rasmi katika Ibada ya Mwaka Mpya 2015, siku ya tar 01/01/2015, katika Kanisa la Ufufuo Na Uzima la Mchj. GWAJIMA, Kawe.
 
size ya SLAA alikuwa YUSUFU MAKAMBA, acha kumdhalilisha rais Kikwete

Kwani makamba ndo alikuwa anagombea katika uchaguzi wa 2010? Na mwaka 2015 jiandaeni kukimbia midahalo muone kichapo kitakachowapata
 
mkuu niko fiti sana kwenye matusi,na watu wote wanajua hivo,ili tuache uzi utambae kwa malengo yake,nakuomba tuingie PM

Nani, Wile ndio atuhutubie sisi! no way! atakuwa bize kusoti wake za watu wapya akajipigie tena.
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.

Kwani hilo jamaa hata ni BAVICHWA basi, liuza maji sinza.
 
kama jk anawatetea wezi sasa unategemea nan atatutetea sisi watanzania ndo maana tunataka dr slaa ahutubie taifa atuaddress wapi tulipotoka na wap tunapoenda

JK ni Rais mwenye kuheshimu sheria na sio wa kujichukulia sheria mkononi kama waitisha maandamano bila sababu. Hujui hata maana presumption of innocence, nyie mnang'ang'ania kuwaita watu wezi wakati hawajathibitishwa before any court and existing law! kama ndio chadema mtakuja kuongoza na kuhukumu watu kwa hisia basi nchi haitatawalika, shame on you! eti chama cha demokrasia, how pathetic!
 
Dr. Slaa atakuwa mgeni rasmi katika Ibada ya Mwaka Mpya 2015, siku ya tar 01/01/2015, katika Kanisa la Ufufuo Na Uzima la Mchj. GWAJIMA, Kawe.

Atakuwa anaendelea kutekeleza maelekezo toka ujerumani ya Christian Democratic Union.
 
Kesha chuja,tafuta kiongozi mwenye mvuto kisiasa iwe ka daraja kwake kuelekea Ikulu2015.
 
Haya ni maoni yangu usijenge chuki.

Pamoja na mambo lukuki yalitokea 2014 yakionyesha taifa kukosa mwelekeo nashauri Dr. Slaa ahutubie taifa mwishoni mwa mwaka ku-adress mambo muhimu.

Hatujui hatima ya katiba mpya, kuna suala la Escrow tunahitaji msimamo,kingine ni kuhusu Uchaguzi, nadhani tumeona dalili za umwagaji damu katika uchaguzi wa serikali za mitaa

Mkuu wazo lako ni zuri. Ila kwa ajili ya kujenga mshikamano ndani ya UKAWA. Dr Slaa, Prof Lipumba na Mbatia wote wahutubie kwa pamoja. wanaweza kugawana dakika 20 kila mmoja au wao wenyewe watakavyoona inafaa. Kama haitakuwa live kwenye TV basi watengeneze hata CD zisambazwe nch nzima.
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.
Mkuu nakuunga mkono 100%, mtu ambaye haoni sababu kwanini Dr. slaa ahutubie taifa huyu atakuwa Mjinga mwenye hekima na busara ambaye sifa mbili alizonazo ukiachilia ya ujinga zinamsaidia kujitambua kuwa yeye ni mjinga mwenye busara na hekima.

Zaidi sana kwa ujinga alio nao wakati mwingine anashindwa kuelewa rais sio jina! hivyo watu wanaweza kumwita yeyote yule Rais ikiwa watamwona ana sifa za kuwa Rais! Hebu ona huu ujinga wenye busara na hekima unafikiri rais anahutubia taifa kwa sababu ni rais, sio kwa sababu anakitu cha muhimu cha kuwasiliana na wananchi na ana uwezo wa kuwasilisha.
Nakuunga mkono kwa 1000%
 
Ahutubie taifa in what capacity?

Yeye ni nani kwa taifa mpaka taifa likae kitako kumsikiliza?

Mind you, JK huwa hahutubii taifa kama mwenyekiti wa ccm bali raisi wa nchi, katiba inampa hizo nguvu...ingekuwa kuhutubia taifa ni mchezo wa kuigiza i.e. yoyote anaweza kushiriki, basi akina Pinda, Magufuli masifa wangeshahutubia sana tu.

Pamoja na ushabiki wenu kitu ambacho hakuna anayewakataza, mnapaswa kujifunza na kuelewa namna nchi inapaswa kuendeshwa, isije tumewachagua kuingia ikulu halafu mkatuletea upuuzi kama huu wa ccm.
 
Hafai huyo babu anatetea tumbo lake ila hoja hana.
 
Slaa ni mzee sana. Hana nguvu ya kuongea mfululizo hata nusu saa
 
Sioni mtu km Dr Slaa kuzungumza na wananchi ni makosa. Hivyo naunga mkono hoja ya mjumbe. Kiongozi mkubwa km Dr Slaa kuzungumza na wananchi kwa njia ya tv na radio sio kosa.
 
mkuu umerudi rasmi?au unapiga chabo tu.halafu CCM wa Bukoba mna matatizo gani?mana kila kashfa hamkosi kutimuliwa,Richmond Karamagi,Tokomeza Kagasheki,Escrow Tibaijuka

Hahaha!! Wahaya ni wezi sana tena wana roho mbaya ukifanya nao kazi maofisini utakubaliana nami.
 
Back
Top Bottom