Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.
Akipata nafasi ya kuhutubia watanzania itakuwa jambo zuri sana. Tuweze kupata mawazo mapya na kujua pia uwezo alio nao kwani nimgombea urais mtarajiwa. Lakini nimjuavyo dr Slaa sijui kama atakubali!
 
Ahutubie taifa kama nani na kwa lugha gani? Hajui kiswahili wala kiingereza. Sijui kama watanzania wanajua ki-mburu......

Huyu amewahi kusema "lichee ya wewe kwa ajili ya bozo" wakati alipozinguana na chris lukosi. Kwanza atutafsirie maana ya lichee ya wewe wa ajili ya bozo.
 
Back
Top Bottom