Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

Maoni: Dr. Slaa ahutubie taifa mwisho wa mwaka

watajificha chooni kama kawaida yao

Marekani mdahalo upo katka kanuni sasa Jk akafanye mdahalo na mavi ya ng'ombe uyo slaa kwa kanuni gani.....au mnataka kuiga kila mkionacho nyie mapunju wa kaskazini
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.

unamfahamu vuta nkuvute,angalia usije kupokonywa ki laptop chako alichokugawia?
 
Marekani mdahalo upo katka kanuni sasa Jk akafanye mdahalo na mavi ya ng'ombe uyo slaa kwa kanuni gani.....au mnataka kuiga kila mkionacho nyie mapunju wa kaskazini

tukisema una mtindio wa ubongo tutakuwa tumekosea?
 
AHUTUBIE KAMA ASKOFU au katibu wa chadema sijaelewa naomba kuelimiswa jamani wengine tupo magoto vijijini au tayari ni RAIS
 
Yaani wewe hata huo ukweli unaona upuuzi? Kweli umaskini ni mbaya sana, tena ule wa fikra ni hatari.
 
Haya ni maoni yangu usijenge chuki.

Pamoja na mambo lukuki yalitokea 2014 yakionyesha taifa kukosa mwelekeo nashauri Dr. Slaa ahutubie taifa mwishoni mwa mwaka ku-adress mambo muhimu.

Hatujui hatima ya katiba mpya, kuna suala la Escrow tunahitaji msimamo,kingine ni kuhusu Uchaguzi, nadhani tumeona dalili za umwagaji damu katika uchaguzi wa serikali za mitaa
Utakuwa umeathirika na mi-fungus akilini mwako, maana unavyotaabika na huyo kigagula wako kila cku hadi unatia huruma, in short hatuko tayari kuongozwa na mzinifu mtu asiyemuheshimu Mungu, muasi wa dini na ndoa yake
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.

Wewe ni janga kuliko majanga yote yaliyowai kutokea dunia hii na kwenye sayari nyingine kama kuna uhai.
 
Utakuwa umeathirika na mi-fungus akilini mwako, maana unavyotaabika na huyo kigagula wako kila cku hadi unatia huruma, in short hatuko tayari kuongozwa na mzinifu mtu asiyemuheshimu Mungu, muasi wa dini na ndoa yake
mkuu niko fiti sana kwenye matusi,na watu wote wanajua hivo,ili tuache uzi utambae kwa malengo yake,nakuomba tuingie PM
 
CHADEMA ni nwazembe ilisha semwa sana, kuwa awe anhutubia kila mwezi baada ya Mzee wa Tezi Dume kuhutubia na yeey aje achambue na kuongezea maswali magumu, au angeamua kuhutubia Katikati ya mwezi kwa maaana awe anajibu HOJA za Tezi dume za mwezi uliopita na kuset agenda za hotuba inayofuata.
hakika wangekuwa mbali sana saa hziz.
kwa mana nyingine atakuwa active mda wote akitoa changamoto kwa rais.na kutoa alternatives
 
Utakuwa umeathirika na mi-fungus akilini mwako, maana unavyotaabika na huyo kigagula wako kila cku hadi unatia huruma, in short hatuko tayari kuongozwa na mzinifu mtu asiyemuheshimu Mungu, muasi wa dini na ndoa yake

akili za kuambiwa changanya na mumeo
 
Labda moyo wa baako mzazi sio mioyo ya watanzania nyie mnashida kweli..........kafe mbele usituletee mada za kipuuzi

mbona umetokwa na povu kama unataka kufa DR slaa ndo raisi mtarajiwa hilo halina pingamizi.
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.

Kwako wewe kuhutubia taifa ni nini? Nijuavyo ni kutoa ujumbe maalum kwa taifa. Hilo wanalifanya wengi na kwa taarifa yako sio lazima kila mtu asikilize. Ni kupe mfano, hotuba pekee ambayo JK katoa kwa taifa na ikapata wasikilizaji wengi ni hii ya juzi alipowahutubia wazee kuwa safisha wezi basi. Zile zingine mnazoita za mwezi watu wamekuwa wanabadili station kumkwepa. Wako radhi waangalie mpira au tamthilia kwa vile hawaoni sababu ya kusikiliza.
Hata sala ya Xmas au Idd inayofanyika kitaifa mahali ule ujumbe unaotolewa ni kuhutubia taifa hivyo hata yeye Dr Slaa au Lipumba akiomba nafasi ya kuzungumza na taifa ni sawa tuu ingawa wapo watakao badili station kutomsikiliza.
 
Kuna wajinga wenye hekima na busara na pia kuna wajinga wasiofahamu kama wao ni wajinga.

Eti ahutubie taifa!

BAVICHA ni moja ya janga la kitaifa.

Ahutubie Taifa kwa sababu taifa halina kiongozi kwa sasa,kikwete kageuka mpiga zumari la wezi na yeye mwenyewe ni mwizi.dr slaa ndiye rais wa wazalendo wa taifa hili
 
Back
Top Bottom