Maongezi ya kijana aliyeandika verse za BONGO FLAVOR necta form 4 mwaka jana...

Jamaa kasoma O-Level zaidi ya miaka 7,
Hiyo inaonyesha kule hakukua saizi yake,

Kashuka mistari, watu tumemuelewa!!!
 
Kuna watu wana vichwa vigumu mkuu, fundisha fundisha na wewe ukiuliza swali jibu unalopata unachoka...

Ni kweli kaka, lakini kama akili zake ziko timam na malezi yangekuwa sahihi asingeandika "mistari" kwenye mtihani, angeonesha juhudi yake ya kujaribu kujibu kwa usahihi kwa kadri anavyoweza!
 
Kiukweli mfumo wetu wa elimu ni mbaya sana hatoi nafasi ya kuendeleza vipaji au kuwa na elimu mbadala ya vitendo kwa watu wasio weza kukariri malambat na mabot, Hii VETA iko kama imewekwa pembeni na sidhani kama wanatoa variety za kutosha.
 
Hee as simple as that?
Hii ni only in tz

hahaha ndio hivyo, si unaone hapa JF kuna nyuzi kama tatu zinamuhusu...then kashapata airtime ya single yake Clouds...
 
Tusimhukumu tatizo mfumo wa elimu wa nchi hii una mapungufu yaani hauendani kabisa na hali ya wanatanzania embu angalia katika somo la History 2 kidato cha tano na cha sita kuna topic kama INDUSTRIAL REVOLUTION au RISE OF DICTATORSHIP sasa haya mambo yanatuhusu nini Tanzania kama yeye anapenda sanaa ya muziki akajifunze katika sehemu(mf Bagamoyo) husika na sio kumlazimisha ahangaike na geography au kusolve matrix
 
hahaha ndio hivyo, si unaone hapa JF kuna nyuzi kama tatu zinamuhusu...then kashapata airtime ya single yake Clouds...

Haswa nimeona..!
Huyu ndio mteja halisi wa Joyce
Maana wengi ndio wa aina hii katika shule zetu za Kanumba.
 
Kumbe nataoka kwenye dini na kabila la wasomi? Mimi nilidhani ni mzee wa 'gahawa'?
 
Jamaa kasoma A-Level zaidi ya miaka 7,
Hiyo inaonyesha kule hakukua saizi yake,

Kashuka mistari, watu tumemuelewa!!!

O-Level mkuu na wala si A-Level na kwa haraka kasoma jumla ya miaka 8 jumlisha mwaka 1 aliokaa nyumbani.
 
Amesema kabila lake ni CHADEMA! Mbona hamuelewi jamani?
Duh! watu wa namna yenu mnaumwa akili, na bahati mbaya sana hamjui kama mnaumwa na hivyo ni vigumu kwenu kupata matibabu muafaka "and in the end you are going to rape your own mother"
 
kwaupande wangu ninakubaliana nae asilimia mia maana kiukweli upande wa pili wa watu wenye vipaji vya pekee wanapata shida sana hapa tanzania maana lazma asome vipaji vya watu kwa lugha ya kigeni wanasema anakuwa force kufuata kile asichokipenda na hivyo ndipo unaweza kuja kuona muigizaji anaaza kuwa mwanasiasa au muimbaji anaanza kuwa mwanasiasa. mfano capten komba lakin ikianzia chini angekuwa mbali na angefanya vizur kiasi kwamba tanzania tungekuwa na wasanii wakubwa kuliko tulio nao sasa hivi maana mskama wanapoteza pesa yao na muda wa watoto wao
 
Nguo zikiwa kitandani ni uchafu maaana si mahala pake ila zikiwa kabatini au katika mwili ni za muhimu .Angetumia jukwa huru kufikisha hisia zake.Hakuwa sawa japo alikuwa na points anazodai ni points.
 
Nilimsikiliza vzuri alipokuwa akihojiwa, dogo upo accurate na wimbo wake ume2lia...nampa 5
 
Back
Top Bottom