Jk12
JF-Expert Member
- Feb 24, 2019
- 702
- 1,151
Mimi najua wewe ni mlokole mluter kamili ila unajua mambo mengi ya ulozKwakweli mimi sio mchawi wala sio mganga... Lakini ni mara chache mno kumkuta fundi magari asiye jua kuendesha
Mimi najua wewe ni mlokole mluter kamili ila unajua mambo mengi ya ulozKwakweli mimi sio mchawi wala sio mganga... Lakini ni mara chache mno kumkuta fundi magari asiye jua kuendesha
Je ni kweli kuwa katika vilinge vyenye utiii wa hali ya juuu ni kwenye kilinge cha uchawi inafuata jeshini ni kweli Mshana Jr ??
duh! Mshana simamisha gari nishuke hii gari niliyopanda haiendi ninakoelekea.🏃🏃🏃. View attachment 1285583View attachment 1285585
Picha ya kwanza ni namna ya kutengeneza jiji
Picha ya pili ni madhabahu ya kuingia mkataba na shetani number 666
How ukavuka mipaka leo kabla kifo hakijakukita hata kama adhabu ushapewa ukaamua kugeukia upande wa pili I mean kuokoka kwa wakristo??? Au kifo ni palepale kilingeni? Mshana JrNi kweli kabisa... Na ukijaribu kuasi ama kuvuka mipaka yako hatua stahiki zinachukuliwa dhidi yako na kwenye ushirikina ni KiFO
Kuwa msukule si mpaka ufe kwanza au kuna misukule ambayo inapelekwa kilingen bila kifoAdhabu ya kawaida kabisa ni kifo
Na nyingine ni kuchukuliwa mateka ukawe msukule kwenye vilinge vikubwa
Kuwa msukule si mpaka ufe kwanza au kuna misukule ambayo inapelekwa kilingen bila kifo
Hatari sana hii mada!!Hapana mimi sio mchawi pure
Mshanaaa banaaaa!!!
Unajua niko mwenyewe jamani mimiii
Nataman siku nione msukule jua likiwa linawaka nijue kama hauna kivuliKifo cha msukule ni sanaa ya kiinimacho... Kinachokufa ni kivuli nje ndio maana misukule hawana hicho kivuli... Rejea mada ya vivuli vitatu
Mkuu Mshana Jr hapa Mbezi roundabout ya Goba kuna jamaa kawasubirisha watu karibuni masaa 8 akiwaahidi kuwa atapaa live, kufika saa 1 jioni wamemgomea asiondoke mpk aonyeshe wanavopaa! Mm nliacha wanamtandika