Mtoa mada mbona unaandika heading ya uzi utadhani unagombania treni ya kwenda Moshi.
Kuna picha hapo juu ya huyo jamaa aliyembeba mtoto huwa wanafanana Sana hasa vichwa...nadhani kitaalam wanaita Autism..Niko tayari kusahihishwa kama nitakua nimekosea..
Kuna picha hapo juu ya huyo jamaa aliyembeba mtoto huwa wanafanana Sana hasa vichwa...nadhani kitaalam wanaita Autism..Niko tayari kusahihishwa kama nitakua nimekosea..
Hizi picha nawaona wazungu wanafanya sana
Nakumbuka kuna siku nilikuwa napita mbali kidogo na stone henge nikawaona wazungu wamevaa nguo za ajabu ajabu na fimbo zenye fuvu
Huku wakizunguka mawe ya zamani sana
Ilikuwa ni mara ya kwanza kuona wazungu wanawanga [emoji23][emoji23]