Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

Halafu watu wanasema wazungu sio wachawi..hivi karibuni nilipata mwaliko wa ulaya kwenda kuhudhuria tamasha la wachawi.... Muda ukanitenda

Haki ya Mungu wapo tena wanaamini sana ni cult
Hata psychic wengi tu na wanatabiri sana
Kuna kesi moja niliangalia jamaa kauwa kwa ajili ya wivu na ilijulikana kuwa walifanya kafara wakiwa watatu na landlord ndio alitoa ushahidi kwa kuwaona wakitambika usiku wa manane huku wakiwa vifua wazi na kuzunguka moto huku wakitaja jina la yule jamaa waliomuuwa mwishoni
Haya mambo yapo sana huku uzunguni nafikiri ndio yalipoanzia [emoji848][emoji848]
 
Sio waarabu hao bali wazungu
IMG_1618.jpg
 
Mshana Jr mzigo huo uliotoka kwa Ustazi ukiwa umeinamia chungu akiwa amekukusudia wewe katoka apo Wa kwanza kukutana nae ndio unakuwa ww mlengwa ebu tupe mlejesho inakuwaje kazi yake!!!maana vitu vyote vunakula ubani????
 
Huyo kaachika ama kuna mtu anamtengeneza tofauti na hapo ni changu anatafuta wateja ndio maana hana noma... Kwangu mimi angekimbiaa yeye[emoji23][emoji23][emoji23]
Mshana Jr mzigo huo uliotoka kwa Ustazi ukiwa umeinamia chungu akiwa amekukusudia wewe katoka apo Wa kwanza kukutana nae ndio unakuwa ww mlengwa ebu tupe mlejesho inakuwaje kazi yake!!!maana vitu vyote vunakula ubani????
 
Nataka kuleta mada maalum ya kufundisha live ili watu waone na kufanya wenyewe lakini bado najifikiria sana.. Maana kuna watu hawatachelewa kunisingizia mabaya japo juzi kati kuna mmoja alinikera nikamzika saa tisa alfajiri... Sasa hivi anaendelea kuoza black sniper,
 
Back
Top Bottom