Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

Wasanii huingiza ibada za makafara katikati ya sanaa zao na huwa ni magizo maalum.. Wakati ukifurahia video kumbe unnashiriki ibada bila kujua
Duuuuh kwa hiyo konde pale kaigiza anavuja damu ndo kwamba kashakula kichwa tayri kinaoza huko??? Aiseeee tunafurahia kushoto kulia na baba lao kumbe tunashirik ibada
 
Bei ninayoongea sio shekeli za sarafu au makaratasi yaliyoandikwa pesa.... Ni damu mbichi
Mkuuuu Mshana Jr hata hilo unaliweza...sema sh ngapi mimi siku uniambie niko wapi na nafanya nini tena bila kukupa detail. Hata moja zaid ya kujua hiyo username yangu
Kidogo tu[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]
cc3ec245ef7ba6df4409a801a170c153.jpeg
 
Ulimwengu wa kiza ni habari nyingine
Duuuuh kwa hiyo konde pale kaigiza anavuja damu ndo kwamba kashakula kichwa tayri kinaoza huko??? Aiseeee tunafurahia kushoto kulia na baba lao kumbe tunashirik ibada
 
Kwakuwa kapewa ukuu wa anga na walio chini yake ni viumbe waliokosa ukamilifu na kupungukiwa na utukufu wa Mungu
Kwa hio Mungu aliridhia kumpa huo ukuu wa anga hali akijua madhara atakayoenda kusababisha? Na vipi sasa bado nguvu yake inafanya kazi pamoja ujio wa mitume wa Mungu na manabii, kwa mfano wa Mohammad na Kristo?
 
Siti ya mbele nasubiria... Mshana Jr Ukiwa kilingen ni ishu gani uliwahi kutolewa knockout???
 
Back
Top Bottom