HayaBaki na Mimi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lini hiyo kaka... Ungenijusha mapema ningeenda
Mekuwa jasiri mimi mpaka najishangaa!![emoji23][emoji23][emoji23]nipe mrejesho
Ndio kakaUnajua ni kwanini?
Unaadhibiwa kutokana na kosa ulilofanya, au wanakupoteza.Itatokea nn kama ukagoma kuwa mtii kwenye kilinge cha kichawi??
Unaadhibiwa kutokana na kosa ulilofanya, au wanakupoteza.
mfano ukivujisha siri zao na wakaona wazi umewaweka wazi wanakupa kifurushi cha uchizi au majanga
Wanaccm wengi wako hivyoKuna picha hapo juu ya huyo jamaa aliyembeba mtoto huwa wanafanana Sana hasa vichwa...nadhani kitaalam wanaita Autism..Niko tayari kusahihishwa kama nitakua nimekosea..