Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,466
- 42,601
Nikianzisha Uzi nitaedit na kutunga baadhi ya Mambo ili kuficha utambulisho na ikiwa hivi haitaleta ladha itakuwa Kama hadithi za shigongoSiku moja anzisha uzi wa kisa chako hicho tupate funzo tukiwa tuna tembelea nchi za watu huko