Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

Radha yake ipoje mkuu au inafanana na nyama gani kwa radha tulizozizoea

Ulijua baada ya muda gani kama umekula hiyo nyama?
Ilikuwa line na yenye uchumvichumvi nilikuja kujua baada ya mwenyeji wangu kukamatwa na polisi namimi kuunganishwa kwenye kesi ya mauwaji sitaki kukumbuka hiyo Hali ndio maana namheshim Sana mshana maana anajua haya Mambo Sana
 
Uchawi wa kizungu
5b5aaf8226ed453f7704456b85228505.jpeg
06832c59afc0281755cd7b8973590b31.jpeg
 
Ilikuwa line na yenye uchumvichumvi nilikuja kujua baada ya mwenyeji wangu kukamatwa na polisi namimi kuunganishwa kwenye kesi ya mauwaji sitaki kukumbuka hiyo Hali ndio maana namheshim Sana mshana maana anajua haya Mambo Sana
Pole mkuu kesi ya mauaji halafu kwenye nchi ya watu sio mchezo kabisa ila hata hivyo kulikua na ushahidi gani kama umekula au ulikamatwa na nyama

Natamani sana kujua kisa chako sio mchezo inaonekana nicha kusisimua mno na ulipitia kipindi kigumu sana
 
ON SERIOUS NOTE nyama ya mtu tamu sana... Kuna wakati huwa natamani kabisa kula tena [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]

Mkuu acha kabisa itoshe tu kusema namshukuru mzee adadi rajabu nadhani ni mbunge wa Tanga au lushoto
 
Ni kweli

Nikweli nyama ya mtu ni tamu hasa upate ile ya ndani ambayo iko redish na Kama imechomwa vizuri inakuwa na rangi ya asali ila nilipogundua badae ni ya mtu nilitapika Sana NB Nivizuri kula ambayo imetoka kufa muda c mrefu ila iliyolala ni mbaya Sana haya Mambo ni mabaya Sana wengi wanaokula hawajui kwamba wanakula mtu na itakuwa vema usijue maisha yako yote maana ni very disturbing na haisahauliki kwa haraka.
 
Siku moja anzisha uzi wa kisa chako hicho tupate funzo tukiwa tuna tembelea nchi za watu huko
 
Nyama yoyote fresh huwa tamu sana.... Ni tofauti kabisa na ya maiti iliyolala mochwari kwenye jokofu... In fact nyama nyingi za majokofu ni nyama MFU au simply tuseme vyakula
Ni kweli
Nikweli nyama ya mtu ni tamu hasa upate ile ya ndani ambayo iko redish na Kama imechomwa vizuri inakuwa na rangi ya asali ila nilipogundua badae ni ya mtu nilitapika Sana NB Nivizuri kula ambayo imetoka kufa muda c mrefu ila iliyolala ni mbaya Sana haya Mambo ni mabaya Sana wengi wanaokula hawajui kwamba wanakula mtu na itakuwa vema usijue maisha yako yote maana ni very disturbing na haisahauliki kwa haraka.
 
Ni kweli
Nikweli nyama ya mtu ni tamu hasa upate ile ya ndani ambayo iko redish na Kama imechomwa vizuri inakuwa na rangi ya asali ila nilipogundua badae ni ya mtu nilitapika Sana NB Nivizuri kula ambayo imetoka kufa muda c mrefu ila iliyolala ni mbaya Sana haya Mambo ni mabaya Sana wengi wanaokula hawajui kwamba wanakula mtu na itakuwa vema usijue maisha yako yote maana ni very disturbing na haisahauliki kwa haraka.
Daaaaah,kuna mazingira ya kawaida ambapo nchi kwetu hapa unaweza ukajikuta umekula nyama ya mtu?
 
Back
Top Bottom