Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji123][emoji123][emoji123][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji16]
Kitwanga Hoyee
Wanawake Weupe Hoyee!!!!
 
Haya ni madhabahu ya kuzima nyota kutia nuksi na nafsi ya kukataliwa... Wengine wanaita gundu ama kimavi... Ni madhabahu /kilinge kibaya pengine kuliko vyote kwakuwa hakina rivasi...
Sasa ikiwa haina rivasi muathirika anaponaje au ana achana vipi na gundu
 
Mi nilishawahi kula nyama ya mtu Zimbabwe ila bila kujua ilikuwa ni nyama ya mbavu maeneo ya Bulawayo
 
Kwanza kaka,naomba unisaidie maana ya tamko "USHIRIKINA".
Ushirikina ni kumfanya Jinni Sheytwani
kuwa rafiki yako akakutatulia matatizo yako ukamuomba shida zako ukafungamana naye mikataba akutatulie shida zako za dunia

ni kumfanya JINNI sheytwan kuwa Mungu wako
 
H
Hawa ni ku Klux klan sio wachawi ni political hatred against africans

Hapana mkuu KKK nawajua vizuri
Kofia zao ni ndefu kwenda juu na hawana mzunguko huo
Hii ni imani kama imani zingine tu na hawahusiani na chuki kama za kkk
Angalia Pagan festivals
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji116][emoji116][emoji116]
Ushirikina ni kumfanya Jinni Sheytwani
kuwa rafiki yako akakutatulia matatizo yako ukamuomba shida zako ukafungamana naye mikataba akutatulie shida zako za dunia

ni kumfanya JINNI sheytwan kuwa Mungu wako
 
Alimwambia fanya kama unakunya [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Sheikh ana mke kweli?? Sasa hapo anamchungulia wapi mdada wa watu?? Baada ya hapo tuseme alimuomba ngoma au alimlaza chali tu. Nawaza tu Dah!! Kazi nyingine ni mateso tu
 
😁😁😁😁😁😂😂😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Mi nilishawahi kula nyama ya mtu Zimbabwe ila bila kujua ilikuwa ni nyama ya mbavu maeneo ya Bulawayo
Radha yake ipoje mkuu au inafanana na nyama gani kwa radha tulizozizoea

Ulijua baada ya muda gani kama umekula hiyo nyama?
 
Back
Top Bottom