Maonesho ya kazi za kishirikina

Maonesho ya kazi za kishirikina

Wasanii huingiza ibada za makafara katikati ya sanaa zao na huwa ni magizo maalum.. Wakati ukifurahia video kumbe unnashiriki ibada bila kujua
Hii picha ina uhusiano gani na video za daimond na harmonize?
Nahisi kuna sign uncoded codes nyingi sana amabazo zinatakiwa kuwekwa wazi.
Mungu atuhurumie
 
Hii picha ina uhusiano gani na video za daimond na harmonize?
Nahisi kuna sign uncoded codes nyingi sana amabazo zinatakiwa kuwekwa wazi.
Mungu atuhurumie

Mkuu kwanza nasikia kwako na mimi sio mpenzi wa miziki na sifuatilii kabisa
Hebu funguka kidogo hapo Mkuu
Maana kama ni codes sijui
 
Huu uzi uko poa sana kwa maana tunayo ya kujifunza mengi. Ila...ila kuna mtu mmoja ni muongo sana kwa post zake umu.

Anataka tu kuogopewa.
 
Back
Top Bottom