Maombi ni upotevu wa muda

Ipo siku utayaitaji ayo maombi....
 
Maombi ni kujipa faraja hewa kwenye nafsi, huku ukipoteza pesa (sadaka) kwa anayekuongoza kwenye maombi.

Maombi yangekuwa yanafanya kazi, Sadam, Gadafi, na wengineo wasingeuliwa, pia ata vita visingekuwepo.​
 
Watu tumekesha tukiomba Lissu aachiwe lakini wapi?
Wewe unasema hii?
Unawafahamu hawa

1. Askofu Kakobe
2. Askofu Jacob
3.Askofu Dickson Kabigumila
4. Mch Mbarikiwa.
5. Askofu Mwamakula
6. Pastor Rolinger
7. Nabii Denis Samweli
MImi BushDokta nilichukua muda wangu na commitment kuungana nao kwa kutangaza Ukuu wa Mungu, Rehema na baraka zake. Niliungana nao kuanzia Jan 2024. Tuliombea uchaguzi uwe wa Amani na Mungu akubariki kwa ajili ya Taifa la Tanzania na Wananchi wake.
Kilichotokea ni ushahidi 100% Mungu Hasikilizi maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…