Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 61,023
- 36,865
Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba.
Day 05
Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia katika matunda mazuri ya ndoa njema.
1 Petro 5:10 Na Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele katika Kristo, mkiisha kuteswa kwa muda kidogo, yeye mwenyewe atawatengeneza, na kuwathibitisha, na kuwatia nguvu.
OMBA 👇🏻
✅️Bwana Yesu naomba niandae kwa ile ndoa umekusudia mimi kuwa nayo.
✅️Bwana Yesu naomba tengeneza tabia yangu nipe kuwa bora kulingana na utukufu wako katika ndoa njema uliyo andaa kwaajili yangu.
✅️Bwana Yesu niandae na nifundishe kuwa na uvumilivu na upendo kwaajili ya kusudi lako katika ile ndoa uliyo niandalia.
✅️Bwana Yesu naomba nifundishe kuwa mume/mke yule natamani kuwa kwaajili ya kusudi lako na hatima ya ndoa yangu.
✅️Bwana Yesu naomba panda tabia na matunda mema ndani yangu ambayo yana dhihirisha upendo wako na neema yako juu yangu.
✅️Bwana Yesu nifungulie milango ya fursa njema zitakazo niwezesha kukua kiroho, kiuchumi na katika taaluma yangu ili nikapate kuwa bora zaidi na kuwa baraka katika ndoa yangu.
✅️Bwana Yesu nakushukuru na ninakutukuza asante maana mkono wako unaniandaa kuwa bora na kuwa baraka kwaajili ya ndoa njema uliyo niandalia kwa utukufu wa Jina lako Yesu wangu, Amen🙏