Manyaunyau utahukumiwa..!!!

Nifahamishe mkuu Mshana Jr.

Kwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
 
Last edited by a moderator:
"what is goes around comes around",ni kwa kiasi hicho tu ndio nachofahamu kuhusu karma mkuu Mshana Jr.
 
Last edited by a moderator:
ohh asante sana mkuu,nimekupata......hivyo tutegemee kifo cha kitisho cha dr manyaunyau sio...?? lakini ametumia fursa mkuu ili maisha yaende au unaonaje?
 
Yaani sijui yukoje huyo kijana mwenzenu. kijana mdogo kuendekeza uchawi, pfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
ohh asante sana mkuu,nimekupata......hivyo tutegemee kifo cha kitisho cha dr manyaunyau sio...?? lakini ametumia fursa mkuu ili maisha yaende au unaonaje?

Sipingani na jinsi yake ya kutengeneza hela bali ukatili wake kwa wanyama waso hatia
 
kweli tumtumie kutambua wauaji wa albino
_ccm wataumbuka
 

Hapo ktk vifo vya wachinga nyama ama wauza nyama, daah nina mfano mby sn
 
Huyu Manyaunyau, mimi nilimzoea km Mjasiriamali muonyesha video ama movies pale mtaani KIWALANI, nikasafiri kidogo!
Kurudi! Mshikaji kawa FUNDI na anadeal na wachawi!
Daah!
I love you Tanzania!
 
Mashekulu mageni... kumbe na wewe ni Buddhist?
 

aiseee.....sasa wazalishaji nao watakuwaje...?

ila nimependa hapo kwenye kutenda mema......
 
Mashekulu mageni... kumbe na wewe ni Buddhist?

Hahahahaaaa mashkolo mageni Gwangambo mi ni Buddhist tena ni vegetarian lakini pia ni mkristo na naziheshimu mno hizi imani mbili
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…