Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,621
- 18,706
Wasiliana na seller atarekebisha hilo swala.This item can't be shipped to your selected delivery location
Wasiliana na seller atarekebisha hilo swala.This item can't be shipped to your selected delivery location
Thanks mkuu.Jisajili kwenye web ya MYUS.COM ukisha jisajili utapewa virtual US Adress ambayo utaitumia kufanyya manunuzi hivyo seller ataagiza mzigo US, lakini utakapo jisajili utaweka details zako zote za location uliyopo hivyo unapo fanya manunuzi ebay utatumia US Adress utakayo pewa hivyo mzigo utatumwa huko halafu wao watakutumia wewe kwa adress uliyo jisajili kwao ila kuna kuchangia pia.
Unaweza kuwa na virtual physical address Marekani ambapo mzigo utapelekwa huko nao watauforward tanzania. Unakuwa na account online ukifika unaona umefika unaamua haya sasa nautuma tz. Yote yanafanyika online ni sawa na sanduku lako la posta tu una licontrol online
Bure, Ni swala la wewe kujisajiri kwenye site husikavirtual box address in US ni ya kulipia?
Hutokana naGharama za kuuforward mzigo to US kisha to TZ.
Njia ya posta, Royal Mail, Ndio gharama zake ziko chini zaidi.Nadhani UK to Tz directly yaweza kuwa nafuu kidogo.
Hahaaaaaaq hiyo ni kazi aisee inabidi uchangie nduguThanks mkuu.
Gharama za kuuforward mzigo to US nalipia mimi? au ni free?
UK to US to TZ vs UK to TZ... ipi nafuu?
Mkuu kuna replacement battery ya Laptop nimenunua ipo US naituma vipi Tanzania?Nilimaanisha amazon, ambako ni nafuu. Nunua amazon na sio ebay.
Ningekuwa na link husika ningeweza kubaini kwa nini bei iwe tofauti, Hivyo katika hili la bei kutofautiana, No comment
Battery ni moja kayi ya bidhaa zenye restriction katika usafirishaji.replacement battery ya Laptop