Manukato na Nyumba ndogo Yana ukweli haya.

Manukato na Nyumba ndogo Yana ukweli haya.

harufu ambayo haitambuliki (mpya haijalishi uturu au kikwapa) ajiandae maelezo ila wanawake mna kazi, kutwa kunusa waume zenu khaaaa......

tena umenikumbusha zamani za kale (usiseme kuwa sikuwepo) kipindi nimeajiriwa sehemu fulani, bosi alokuwepo alikula samaki akanawa mikono na sabuni (nadhani sabuni ilikuwa kali) akarudi ofsn kwake, bahati mbaya au nzuri akapauka mikono, akaja kuwaomba wadada kama kuna mafuta ya mgando apake...kila mdada akamwambia hana mafuta ya mgando ila wana lotion, wakimpa ananusa anakataa akidai zina harufu mkewe atamuuliza.....

those days sikuwa nimeolewa nikashangaa na kuona maajabu....

kumbe kuna vidume wananuswa eeeeh?????????????

hii thread imeprove loh

Huwa wanaanza hivyo2 mwanzoni,'ooh,naogopa mke wangu atackia harufu,baada ya muda wakishakua wamekubuhu hawajali tena'...wanaume bwana dah!
 
Wadada fungukeni...Mume wako katoka Asubuh kwenda kazini umempulizia Manukato A,Jioni Akirudi ananukia Harufu Nzuri ya Manukato B....tusaidiane itakuwa ya Nyumba ndogo au ni Vijimambo tu.

Kwenu wadada ni ngumu mnatembeaga na Vibenki vyenu vya kujipodoa..lakini si wanaume.

Nikwambie ki2!huwezi kushindana na mwanaume,coz akiamua kucheat atafanikiwa in any means na hutakaa ujue!utaishia kuhisi 2!
 
haina noma, ye akija na uturi wakike, basi nami the next day namjia na uturu wa hatari wa kiume ambao hajawahi hata kuutuimia wala kuuona, halafu ndio tuanze kuulizana.....lol!!!!!!!!!!!!!
 
hii imenikumbusha jambo la kuwauliza akidada, mimi mpenzi wangu avuapo nguo yake ya ndani lazima ainuse, je, ni wadada wote mnafanya hivyo au ni huruka ya mamsap wangu?
 
hii imenikumbusha jambo la kuwauliza akidada, mimi mpenzi wangu avuapo nguo yake ya ndani lazima ainuse, je, ni wadada wote mnafanya hivyo au ni huruka ya mamsap wangu?

........aiiii atakua my wife wako tu........
 
kuna kaka mmoja alinambia kuwa akisafiri kisha akarudi, akido na mkewe .. mkewe huwa anakagua wingi wa sperm mmewe alizotoa. kama ni chache mkewe huwa anamuuliza kazipunguzia wapi.... da wanawake wengine wana kazi ya ziada kwa kweli!!!!
Sasa kama wameenda kavukavu atajuaje wingi wa sperm za mume wake kwa ndom hapo sawa jamani lol
 
kuna kaka mmoja alinambia kuwa akisafiri kisha akarudi, akido na mkewe .. mkewe huwa anakagua wingi wa sperm mmewe alizotoa. kama ni chache mkewe huwa anamuuliza kazipunguzia wapi.... da wanawake wengine wana kazi ya ziada kwa kweli!!!!

very true kuna mshkaji ofisini the same, akisafiri lazima wife asikilizie ukubwa wa bao. natamani nimwambie mkeo mzoefu sana mpaka ajue ukubwa wa bao
 
Nife kwa pressure au ugonjwa wa moyo kisa kunukia kwa mwanaume! wala! dunia ilivyo tamu hivi! atajiju kama alipitia small house au wapi, ili mradi karudi nyumbani
 
Back
Top Bottom