zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Wadada fungukeni...Mume wako katoka Asubuh kwenda kazini umempulizia Manukato A,Jioni Akirudi ananukia Harufu Nzuri ya Manukato B....tusaidiane itakuwa ya Nyumba ndogo au ni Vijimambo tu.
Kwenu wadada ni ngumu mnatembeaga na Vibenki vyenu vya kujipodoa..lakini si wanaume.
Kwenu wadada ni ngumu mnatembeaga na Vibenki vyenu vya kujipodoa..lakini si wanaume.