Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

mansour anaweza kuwa mrithi mzuri wa maalim seif kuwania kitu cha urais zanzibar.
anazo sifa na anaipenda zanzibar
nadhani cuf wammeramba dume..
ccm hawajui kucheza karata wao bado wnadhani turufu ya nguvu itawasaidia milele
 
Tatizo kubwa Wazanzibari hawajui kuwa tunawajua fika!
Ubaguzi upo Zanzibar na haukuwahi kuisha, si mapinduzi yaliyobadili fikra wala nini.
Ukiaangalia muundo wa CUF ndio utaona dalili za ubaguzi uliomo ndani.
Ubaguzi mwingine ni ule wa kuwabagua Watanganyika wanaokwenda kule, hili liko wazi na wao hawabaguliwi huku kwetu Tanganyika.
Tumepita mitaa hiyo ya Zanibari na Pemba na tunajua hilo ni la kweli kabisa, ubaguzi upo Zanzibar.

Hapana Mkuu wazanzibar wanajijua kama wanatambulikanwa dunia nzima kwa kuwa wana historia ya kipekee, na ni jamii yenye mchanganyiko wa watu toka pande tofauti duniani, na kama suala la ubaguvi waache wabaguane wenyewe kama vile Watanganyika wenzenu wanavyobaguana kwanzia #UKABILA na hatari zaidi sumu ya #UDINI iliyopikwa na yule Baba wa Taifa lenu, lakini wew hayo hauyaoni na kuanza kuyasema ya Zanzibar kwa kuwa tu wapo madhubuti ktk kulinda na kutetea heshima ya zanzibar yao,
Anyway, hayo ndio mawazo ya mtu mfu kama we we ila jaribu alau kusoma alama za nyakati, na kama kweli unawajua usingesema upuuzi wako maana kwa sasa Zanzibar siasa ya ubaguzi washaizika kaburini, Kaleeee.....
 
Kwanza funga hilo domo basi, naona nzi wanazengea zengea kwa kaharufu kanakotoka humo!
Pili, Zanzibar huifahamu hata kidogo, waisikia tu.

Kua ubaguzi mbaya sana kule, kwa aina ambayo watanganyika hatuuelewi.
Mswahili , hasa wale wanaobaguliwa na kujisikia inferior, wanalazimika kuoa mabibi wenye asili ya uarabu, ili heshima yake katika jamii iongezeke!!!!
Nimeliona hili.
Hii ni a crude form of assimilation, na hao assimilados wanapooa mabibi wenye asili ya kiarabu, makelele wanayoyapiga utayasikia tu, si ya kutetea uafrika wao bali kutukuza waliowatawala, waarabu.
Tembea uone.

Sasa huoni we we kama ndio upuuzi uliyoingizwa akilini mwako, wenzio wakiwa majukwaani huwananga na kuwabeza ila wakirudi nyumbani ndio wanaopumzikia..... lol pole sana Mnyamwezi kusema usoyajua.... Zanzibar daima itabakia kuwa Zanzibar...
 
Ni watu wachache wanaoweza kufanya maamuzi ya aina hii, yaani kumwaga kibarua kwa ajili ya maslahi ya wengi.Ahsante sana na hii ni dalili njema kuwa nchi itakombolewa muda si mrefu. TANGANYIKA+ZANZIBAR:israel::israel:
 
haje hata huku temeke tutampa ubunge huyu ni mwanasiasa na si msaka tonge, yupo vizuri mnoo
 
Hapana Mkuu wazanzibar wanajijua kama wanatambulikanwa dunia nzima kwa kuwa wana historia ya kipekee, na ni jamii yenye mchanganyiko wa watu toka pande tofauti duniani, na kama suala la ubaguvi waache wabaguane wenyewe kama vile Watanganyika wenzenu wanavyobaguana kwanzia #UKABILA na hatari zaidi sumu ya #UDINI iliyopikwa na yule Baba wa Taifa lenu, lakini wew hayo hauyaoni na kuanza kuyasema ya Zanzibar kwa kuwa tu wapo madhubuti ktk kulinda na kutetea heshima ya zanzibar yao,
Anyway, hayo ndio mawazo ya mtu mfu kama we we ila jaribu alau kusoma alama za nyakati, na kama kweli unawajua usingesema upuuzi wako maana kwa sasa Zanzibar siasa ya ubaguzi washaizika kaburini, Kaleeee.....
Kumbe ukweli unawauma eeh!
Ati Zanzibar ina utamaduni wake!
My foot, utamaduni wa ubaguzi?
Kwani unafikiri hatujui utamaduni wa kibaguzi wa Mabwana na Watwana!
 
Kumbe ukweli unawauma eeh!
Ati Zanzibar ina utamaduni wake!
My foot, utamaduni wa ubaguzi?
Kwani unafikiri hatujui utamaduni wa kibaguzi wa Mabwana na Watwana!

Wewe ni mbaguzi mkubwa ni leo nimekuona unaita watu wa Tanzania hii hii kuwa ni waarabu. Ni wewe pia na CCM Mnaowabagua wachaga kila iitwayo siku leo unapata wapi moral authority ya kuita mtu mbaguzi. pity Tanganyikans
 
Kuna watu hawaelewi siasa za bongo zinaendaje endaje
 
Wewe ni mbaguzi mkubwa ni leo nimekuona unaita watu wa Tanzania hii hii kuwa ni waarabu. Ni wewe pia na CCM Mnaowabagua wachaga kila iitwayo siku leo unapata wapi moral authority ya kuita mtu mbaguzi. pity Tanganyikans
Leo nimewatouch!
Tatizo hamjui mlivyo mpaka muambiwe.
 
Kumbe ukweli unawauma eeh!
Ati Zanzibar ina utamaduni wake!
My foot, utamaduni wa ubaguzi?
Kwani unafikiri hatujui utamaduni wa kibaguzi wa Mabwana na Watwana!

Sawa sawa, ni ubwana na Utwana huo huo kwa mababu zako wa Tanganyika uliwapa unafuu zaidi ndio maana waliingia Zanzibar kwa utitiri kukimbia madhila wanayotendewa huko kwenu kusiko na huo unaoiita ubaguzi, sasa sijui walikimbia Tanganyika kwa ajili gani....?
 
Zanzibar mali ya waafrika, si wale wa kuja na kurudi na pepo za kaskazi na kusi kwa majahazi.
Si mlimsikia bi Asha Bakari?
Hakuna karatasi itakayo warudisha.
 
Zanzibar mali ya waafrika, si wale wa kuja na kurudi na pepo za kaskazi na kusi kwa majahazi.
Si mlimsikia bi Asha Bakari?
Hakuna karatasi itakayo warudisha.

Acha ubaguzi we kenge,ndio maana mnaua albino kwa kuwa si weusi wenzenu.
 
Nyinyi WATANGANYIKA wengi wenu ugalatia umewajaa na ndio maana mnawachukia waarabu kwa kuwa ni waislamu na ndio waliowatimua wagalatia wenzenu "Wareno" ZNZ baada ya kuwa pale kwa zaidi ya miaka 200

Lakini hata siku moja hamuwachukii wazungu kwa kuwa ni magalatia wenzenu hata kama wao ndio waliowauwa mababu zenu kama nzi "vita ya Maji Maji" na waliwanunua kama kuku sokoni na kuwapeleka Ulaya na Marekani kuwa watumwa.

Lakini hatushangai kwani hata kitabu chenu mnachokifuata kimesema kuwa hamna akili.

"Enyi wagalatia msiokuwa na akili ni nani aliewarogeni.........."
 
Mimi linanikera kuwa Waarabu na Wahindi hawakai foleni Zanzibar, wanaabudiwa hadi leo, nimeamini sasa kuwa mapinduzi hayakufanywa na wazanzibar, bali vikosi vya Nyerere vilivyo mteuwa Karume baadae eti kiongozi wa mapinduzi wakati yeye alirudi toka bara siku nyingi tu baadae.
 
Zanzibar mali ya waafrika, si wale wa kuja na kurudi na pepo za kaskazi na kusi kwa majahazi.
Si mlimsikia bi Asha Bakari?
Hakuna karatasi itakayo warudisha.

Ni kweli, Zanzibar ni nchi ya Waafrica lakini "Waafricawa
Zanzibar" kama vile Kenya ni mali ya Waafrica wa Kenya ama Rwanda na Wanyaruanda,
kwani kuna shida gani hapo....? Au ndio unaendeleza ndoto alizokuwa akiziota Babu yenu, Zanzibar kuifanya shamba la Bibi....
kwa dunia ya leo ndoto hizo achana nazo, Zanzibar ni ya kila Mzanzibar hata wale Wazee wetu walokimbia kodi ya kichwa hauwezi tena kuwapokonya Uzanzibar wao...... mutabaki tu kubwabwaja....
 
Acha ubaguzi we kenge,ndio maana mnaua albino kwa kuwa si weusi wenzenu.
Kwanza, mi si kenge wala sina kichwa cha samaki.
Hayo ni maneno ya wabaguzi waliobobea!!!!
Pili, mauaji ya albino na ubaguzi vitu viwili tofauti, lakini kwa taarifa zangu order za ushirikina huo zinatoka miji ya DSM na Zanzibar, kwenye watu wenye uwezo wa kulipia ushirikina huo.
 
mansour anaweza kuwa mrithi mzuri wa maalim seif kuwania kitu cha urais zanzibar.
anazo sifa na anaipenda zanzibar
nadhani cuf wammeramba dume..
ccm hawajui kucheza karata wao bado wnadhani turufu ya nguvu itawasaidia milele

Mkuu, unavozungumza kuhusu Mansour ni kama mjomba wako ivi.... Huyu jamaa hana upendo wowote na zanzibar, usidanganyike mkuu. Unajua kashapora ardhi za wangapi zanzibar ba kujimilikisha yeye wakati wa karume? Yeye na Karume walikuwa wakishindana kuchukua ardhi na kudhulumu watu, nawashauri wazanzibari wenzangu, tuwe makini sana na watu wa namna hii, huwa wanataka kujisafisha sasa na kutumia "Zanzibar Huru" kama kisafishio chao.
 
Mimi linanikera kuwa Waarabu na Wahindi hawakai foleni Zanzibar, wanaabudiwa hadi leo, nimeamini sasa kuwa mapinduzi hayakufanywa na wazanzibar, bali vikosi vya Nyerere vilivyo mteuwa Karume baadae eti kiongozi wa mapinduzi wakati yeye alirudi toka bara siku nyingi tu baadae.

Sio Zanzibar tu hadi huko kwenu Tanganyika tunayaona hayo, na huko ndio balaa zaidi maana tamaa na kila aina ya ufisadi umejaaa ndio maana mwananhi wa kawaida Hana thamani
 
Ni kweli mapinduzi hayakufanywa na Wazanzibari Bali Galatia nyerere na sababu kuwa ni chuki zake JUU ya waislamu na ndio maana alikaririwa akisema kama angalikuwa na uwezo basi angalivichukua visiwa vya ZNZ akavizamisha katika bahari yenye kina kinene
 
Back
Top Bottom