Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

Aliyekuwa Waziri asiyekuwa na Wizara ya Maalum katika awamu ya saba ya uongozi inayongozwa na Dk Ali Mohammed Shein.

Pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo kabla ya kuwa Waziri wa Maji Ujenzi, Nishati na Ardhi katika Utawala wa rais Amani Abeid Karume kwenye serekali ya ccm na mbunge wa kiembe samaki znz Mansor Yusuf Himid ametangaza leo rasimi kujinga na CUF

Akitangaza maamuzi hayo Mansor Yusuf Himid ameshangiliwa sana na kuonyesha wazi bado yupo vizuri kisiasa. Pia ametangaza kugombea ubunge kupitia jimbo lile lile la kiembe samaki kupitia chama cha CUF.

Poleni sana ccm mjipange kijana keshajipanga na kaweka kila kitu adharani

Chanzo: ITV Habari

==========================
Video ya Mansour Himid



Safi sana!
CCM ni gunia la mavi hata ukilibeba litakuchafua tu!
 
Last edited by a moderator:
Tofautisha political na criminal killings.
Baada ya mapinduzi palitokea political killings ambazo kama hatuko careful zaweza tokea tena.
Criminal killings zipo kila mahali hata kwenu Zenj.

Kama ni Political killing, basi ukae ujitambue siasa ya leo sio ile ya zamani chama kushika hatamu, kuenzi fikra na mawazo ya mwenyekiti, vuguvugu la mapinduzi limepakaa duniani kote, kwani nani aliyetegemea kutokea yale machafuko ya 2007 nchini Kenya...? kama ni hivyo basi utambue hadi kwenu Tanganyika yatafika au ndio unasema Watanganyika bado ni mazuzu....?
 
Back
Top Bottom