Mansour Yusuf Himid atangaza kujiunga na CUF

Aliyekuwa waziri katika serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na mbunge wa Kiembesamaki Mhe. Mansoor Himid ametangaza rasmi na CUF na kwamba atagombea ubunge katika jimbo hilo katika uchaguzi mkuu ujao!

Hizi ni dalili za kusambaratika kwa CCM visiwani humo kwani kiongozi huyo ana wafuasi lukuki!

Source: Radio One Stereo.
Makapi hayo, kwanza ana asili kama ya Maalim Sharriff, si mwafrika halisi.
Pili hana watu kama unavyofikiria, waafrika katu hawataingia CUF, kule ni kwa watu wa asili ya Oman, waliokuwa ZPPP, ZNP (na Umma party).
Vyama hiyo ndivyo vilivyo pinduliwa, soma historia yako mkuu
 
Mpuuzi na mbaguzi wewe. Siasa za ubaguzi zimepitwa na wakati Zanzibar.
 
Mwinuka zeze mghosi...!?
 
Yeye, Karume, Maalim wote Cuf tangu zamani, na Waasisi wa Uamsho boko kharam ya Zanzibar
 
Zanzibar hakuna raia ni wakaazi tu. hivyo itakuwa ngumu kwa hilo.
Hawa watu wa lumumba ni vichaa mkuu wamezoea siasa maji taka
Sasa hizo zishapitwa na wakati ngoja kwanza awageuzie kibao tuone naye watasema si raia wa znz
 
Taifa hili linahitaji watu wanaojitambua ili kujikomboa, waache wajinga waendelee kuibeba ccm huku taifa likizidi kuangamia, lakini naomba niwakumbushe wale wanaoona ccm ndio kila kitu, ambao bado wana ndoto za kimaisha kupitia chama kinacholea mafisadi ccm, ni kwamba dalidali ziko wazi, anguko la ccm limetimia, unapata faida gani kuitetea ccm ile hali deni la taifa linazidi kuongezeka, ufisadi unaongezeka wa mchana kweupe, wanyama wanaangamizwa na majangili ambao ni vigogo wa ccm serikalini, uchumi unazidi kuyumba siku hadi siku, rasilimali zinatoroshwa mchana kweupe huku raia wakitaabika na maisha magumu, tunauana sisi kwa sisi, migogoro ya aridhi kila kukicha, wewe unang'ang'ania ccm ndio kila kitu, hizo mia mia mnazohongwa hazina maana sababu wote ni mateka ndani ya nchi, jitambueni.
 
Makapi hayo, kwanza ana asili kama ya Maalim Sharriff, si mwafrika halisi.
Pili hana watu kama unavyofikiria, waafrika katu hawataingia CUF, kule ni kwa watu wa asili ya Oman, waliokuwa ZPPP, ZNP (na Umma party).
Vyama hiyo ndivyo vilivyo pinduliwa, soma historia yako mkuu

Alafu ukienda ulaya ukirushiwa ndizi unalalamika. Miafrika bana! Aagggh

Mrushiwe tu ndizi tumechoka sasa
 
Huko CCM alifukuzwa hakuacha mwenyewe

Alifukuzwa kweli uanachama wa CCM. Yeye alisimamia kile anachokiamini, na ukishafanya hivyo tu unafukuzwa kwenye chama. Hii ndo Tanzanai bwana!
 
Makapi hayo, kwanza ana asili kama ya Maalim Sharriff, si mwafrika halisi.
Pili hana watu kama unavyofikiria, waafrika katu hawataingia CUF, kule ni kwa watu wa asili ya Oman, waliokuwa ZPPP, ZNP (na Umma party).
Vyama hiyo ndivyo vilivyo pinduliwa, soma historia yako mkuu

Kama kweli ungesoma historia katu matope haya yasingetoka kinywani mwako, kama hujui asili na wazo la kuanzisha Hizbu lilitokea kisiwani TUMBATU unguja na ndipo kuenea maeneo ya mjini Zanzibar kwa kuwa ni chama kilicholenga uzalendo wa kweli wa Zanzibar, bali mtu kama wew uliyejaaa historia ya Dodoma huwezi kuyafahamu haya zaidi ya ile sumu ya ubaguzi iliyojaaa akilini mwako, huku ukijiachia na dhana ya Uafrica kumbe hujijui kwamba wenzio huutumia mradi huo wa kisiasa kunenepesha matumbo yao. Fanya ujitambue kijana Uafrica sio fimbo ya kibaguzi bali spirit ya Umoja na mshikamano...
 
Naogopa kutoa comments zangu!! Kwanza jibu hayo mapigo yaliyokulenga!
 
Ukiwa ccm sera ya kwanza ni uwe mtu mweusi kinyume chake wakikupa nafasi ni kama bahati tu kwako. Ukitoka utaambiwa si muafrica.

Ubaguzi wa rangi ya waafrica ni maovu yanayowageukia wenyewe maana kati ya hao wabaguzi wa rangi wanawapenda warabu na wazungu waolewe na wao. Lakini akiwa hajapata fitna wanaikuza.

Zanzibari kule huwezi pata mswahili mweusi katika familia nzima lazim watatoka warabu ndani yao sasa fitna ya ccm ni fitna ni kudumaza raia wasojitambua.

***hakuna bora kati ya mwarabu na asiye mwarabu wala kwa mtu mweusi na asiye mweusi au mwarabu kwa mwarabu au mweusi kwa mweusi*** ubora ni juu ya kumcha mungu na mungu ne ajuae mbora
 
Ndio hawaa
 
Attachments

  • 1402300936827.jpg
    1402300936827.jpg
    25.5 KB · Views: 178
Mpuuzi na mbaguzi wewe. Siasa za ubaguzi zimepitwa na wakati Zanzibar.
Alafu ukienda ulaya ukirushiwa ndizi unalalamika. Miafrika bana! Aagggh

Mrushiwe tu ndizi tumechoka sasa

Kama kweli ungesoma historia katu matope haya yasingetoka kinywani mwako, kama hujui asili na wazo la kuanzisha Hizbu lilitokea kisiwani TUMBATU unguja na ndipo kuenea maeneo ya mjini Zanzibar kwa kuwa ni chama kilicholenga uzalendo wa kweli wa Zanzibar, bali mtu kama wew uliyejaaa historia ya Dodoma huwezi kuyafahamu haya zaidi ya ile sumu ya ubaguzi iliyojaaa akilini mwako, huku ukijiachia na dhana ya Uafrica kumbe hujijui kwamba wenzio huutumia mradi huo wa kisiasa kunenepesha matumbo yao. Fanya ujitambue kijana Uafrica sio fimbo ya kibaguzi bali spirit ya Umoja na mshikamano...
Tatizo kubwa Wazanzibari hawajui kuwa tunawajua fika!
Ubaguzi upo Zanzibar na haukuwahi kuisha, si mapinduzi yaliyobadili fikra wala nini.
Ukiaangalia muundo wa CUF ndio utaona dalili za ubaguzi uliomo ndani.
Ubaguzi mwingine ni ule wa kuwabagua Watanganyika wanaokwenda kule, hili liko wazi na wao hawabaguliwi huku kwetu Tanganyika.
Tumepita mitaa hiyo ya Zanibari na Pemba na tunajua hilo ni la kweli kabisa, ubaguzi upo Zanzibar.
 
Ukiwa ccm sera ya kwanza ni uwe mtu mweusi kinyume chake wakikupa nafasi ni kama bahati tu kwako. Ukitoka utaambiwa si muafrica.

Ubaguzi wa rangi ya waafrica ni maovu yanayowageukia wenyewe maana kati ya hao wabaguzi wa rangi wanawapenda warabu na wazungu waolewe na wao. Lakini akiwa hajapata fitna wanaikuza.

Zanzibari kule huwezi pata mswahili mweusi katika familia nzima lazim watatoka warabu ndani yao sasa fitna ya ccm ni fitna ni kudumaza raia wasojitambua.

***hakuna bora kati ya mwarabu na asiye mwarabu wala kwa mtu mweusi na asiye mweusi au mwarabu kwa mwarabu au mweusi kwa mweusi*** ubora ni juu ya kumcha mungu na mungu ne ajuae mbora
Kwanza funga hilo domo basi, naona nzi wanazengea zengea kwa kaharufu kanakotoka humo!
Pili, Zanzibar huifahamu hata kidogo, waisikia tu.

Kua ubaguzi mbaya sana kule, kwa aina ambayo watanganyika hatuuelewi.
Mswahili , hasa wale wanaobaguliwa na kujisikia inferior, wanalazimika kuoa mabibi wenye asili ya uarabu, ili heshima yake katika jamii iongezeke!!!!
Nimeliona hili.
Hii ni a crude form of assimilation, na hao assimilados wanapooa mabibi wenye asili ya kiarabu, makelele wanayoyapiga utayasikia tu, si ya kutetea uafrika wao bali kutukuza waliowatawala, waarabu.
Tembea uone.
 
Aliyekuwa Waziri asiyekuwa na Wizara ya Maalum katika awamu ya saba ya uongozi inayongozwa na Dk Ali Mohammed Shein.
Mahojiano

Pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo kabla ya kuwa Waziri wa Maji Ujenzi, Nishati na Ardhi katika Utawala wa rais Amani Abeid Karume kwenye serekali ya ccm na mbunge wa kiembe samaki znz Mansor Yusuf Himid ametangaza leo rasimi kujinga na CUF

Akitangaza maamuzi hayo Mansor Yusuf Himid ameshangiliwa sana na kuonyesha wazi bado yupo vizuri kisiasa. Pia ametangaza kugombea ubunge kupitia jimbo lile lile la kiembe samaki kupitia chama cha CUF.

Poleni sana ccm mjipange kijana keshajipanga na kaweka kila kitu adharani

Chanzo: ITV Habari

Mahojiano ya Mansoor DW kabla kufukuzwa CCM.
 
Attachments

Back
Top Bottom