Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Aliyekuwa Waziri asiyekuwa na Wizara ya Maalum katika awamu ya saba ya uongozi inayongozwa na Dk Ali Mohammed Shein.
Pia aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo kabla ya kuwa Waziri wa Maji Ujenzi, Nishati na Ardhi katika Utawala wa rais Amani Abeid Karume kwenye serekali ya ccm na mbunge wa kiembe samaki znz Mansor Yusuf Himid ametangaza leo rasimi kujinga na CUF
Akitangaza maamuzi hayo Mansor Yusuf Himid ameshangiliwa sana na kuonyesha wazi bado yupo vizuri kisiasa. Pia ametangaza kugombea ubunge kupitia jimbo lile lile la kiembe samaki kupitia chama cha CUF.
Poleni sana ccm mjipange kijana keshajipanga na kaweka kila kitu adharani
Chanzo: ITV Habari
==========================
Video ya Mansour Himid

Last edited by a moderator: