kontakinte
Member
- Jun 5, 2013
- 53
- 8
Is he deserve to be a leader ?
Honestly: He is a leader of peace comparing to our Nape CCM and many others
Last edited by a moderator:
Umenisaidia sana kulieleza suala la ubaguzi uliojificha chini tu ya ngozi yako, sasa wajitokeza.
Mkuu hebu nijibu kiufasaha, Mnyamwezi huko kwenu ni mtu wa aina gani?
Naona post yangu ya awali MODS wameitoa, niandike kivingine, kati ya viongozi wako wa juu kabisa mnyamwezi ni yupi na muungwana ni yupi?
Kwanza nitoe pole kwa nyote mnaomshabikia Mansour, tena kwa kumsifu na kumpa uzalendo kwasababu ya video za youtube....Acheni kukurupuka bila shaka wengi wenu hamuijui siasa wala wanasiasa ndio maana mnarubuniwa na video za youtube mmesahau kuwa msema pweke hushinda... Labda niwape assignment ya kumsoma mansour alianza wapi na baada ya kubebwa na shemegi yake(Karume) kwa kumpa uwaziri amewafanyia nini wazanzibar anaojifanya kuwa ana uchungu nao sasa?!! zaidi mtakuta dhulma na unyonyaji mkubwa dhidi ya wazanzibar....Hongera TAJIRI Mansour kwa kurudi kwenye chama chako baada ya UFISADI mkubwa ulioufanya kwa wazanzibar...ama kweli weye ni SHUJAA
Usijishaue na pengine nikukumbushe, usije jisahau.Kuitwa Mnyamwezi, sio Ubaguzi.....!!! Mnyamwezi kwa Zanzibar ni MTANGANYIKA, maana Wanyamwezi ndio watu wa mwanzo kutoka Tanganyika kuingia zanzibar..... na jambo kama hilo hata nyie mnafanya huko kwenu, Kuwaita Wazanzibar wooote kwamba ni WAPEMBA wakati Wazanzibar wengine hata Pemba hawakujui..... sasa labda ukubali tu MKUKI KWA NGURUWEE....
Usijishaue na pengine nikukumbushe, usije jisahau.
Tanganyika hakuna ubaguzi kama huko Zenj na ndio maana watu wanawekeza bila hofu ya mikiki ya kisiasa siku za usoni.
Viongozi wenu karibu wote wana makazi Tanganyika ikiwa kama bima ya siku za mapanga shaa shaa.
Zaidi ya hapo, usijesahau kuwa ni Wanyamwezi,wavuvi, wakwezi na watwana ndo waliwapindua waarabu.
Na CUF anayohamia ndugu yenu Himid ndiyo inawakilisha maslahi ya wapinduliwa wachache.
Hivyo basi mnyamwezi miye nina asili nayo Zanzibar, tofauti na waliokuja na majahazi ya tende kutafuta watumwa.
Karibu nyoka namtoa shimoni........Binafsi #mipasho sio fani yangu, ila nilitaa ujue kwamba kuitana majina Kama Mnyamwezi ama Mpemba kama linavyotumika Tanganyika, asili yake ni ule ujio wa watu wa mwanzo kutoka kila upande, Suala la ubaguzi hapo halipo na ishue ya kuekeza ni suala mtaji wa fedha sio kila mtu anaweza kuwekeza, na ktk hilo Wazanzibar hata Kenya Uganda kote wanaweza kuwekeza kama vile Watanganyika wanao uwezo huo, just ni hella tu!!
Lakini tatizo kubwa nililokusoma kijana wangu, ni zile ndoto zako za kuitazama Zanzibar eti kama mali ya Watanganyika, hivyo watanganyika Zanzibar waifanye wanavyotaka.... jambo haliwezi kutendeka maana Zanzibar ina wenyewe tokea dahari zamani na hao Waarabu
wanaokunyima usingizi, Wazanzibar wenyewe kutoka kwa majahazi walienda kuwafuata na kuwaleta Zanzibar sasa sijui ilikuwaje kwenda mbali zaidi wakati majirani zao wa Mrima walikuwepo? suali jiulize..?
Na kama CUF unaamini eti unawakilisha waliopinduliwa, wala sio vibaya maana hata sheikh Karume baada ya Mapinduzi hajawatenga, aliendelea kushirikiana nao maana anaelewa Zanzibar ni wote, ndio maana akina sheikh Salum Rashid akamteuwa kuwa Karibu Mkuu wake, na washirika wengine, sasa sijui umepatwa na Pepo gani kujitia wew unauchungu zaidi kuliko hao walitenda hayo Mapinduzi..... Zanzibar daima!!
Karibu nyoka namtoa shimoni........
At least umeanza kukubali kuwa CUF ni chama cha akina nani!
Sasa kama mtu ana kimbila huko, ni wa huko, CCM alikuwa akifanya nini?
Unaelewa makapi sasa?
Umejikita kwenye boksi la kifikra na nafikiri tayari umeulinganisha uarabu wako na ubaguzi wako.Huna jipya, nadhani msumari wangu umeshakuingia, ila tu haujapenya vizuri....akilini mwako sababu waonekanwa #UARABU ndio homa yako tena inakuuma zaidi ya wale walikuwepo zama zile, maana wao hawakuonyesha chuki kama hizo lakini sishangai saaana maana huo ndio mtazamo wa Watanganyika wengi hassa wale wazee wa copy and paste kama wewe....
Ila kwa Zanzibar hawana tena nafasi kujadili siasa hizo tunakuwachieni nyie #vitimbikwiri muendeleze fitna zenu.... sie by by....
Umejikita kwenye boksi la kifikra na nafikiri tayari umeulinganisha uarabu wako na ubaguzi wako.
Kama hilo ndo waliita suala la utamaduni unaoitawa kizanzibari, basi then your a gonner uwe mwarabu , mmanga au mbaguzi yeyote.
Ni lazima hilo litatokomezwa kwa vile halikubaliki
Sasa hapo ni suala lako, CUF, na wengine, kusuka au kunyoa,
Kidumu chama cha mapinduxi!Uarabu Uarabu Uarabu hiyo ndio homa yako utaugua nayo hadi kufa kwako na hao unaowachukia wataendelea kuwepo Zanzibar tena daima maana wao wamekuja mwanzo kwa majahazi kama ulivyosema kuliko wale waliokimbia kodi ya kichwa na mbaya zaidi nyie muliokuja kwa mwenge ndio munaleta fujo zaidi na wengine hadi kuingizwa kwenye UJANJAWIDI kuipatia ushindi CCM inayowahifadhi kwenye mashina yake, sasa mie huwa sishangai kusikia maneno yako ya kijanjawidi.....
2015 tunawasubirini!!!
Kidumu chama cha mapinduxi!
Kidumu chama cha mapinduxi!
Nilijua tu utaishiwa hoja.
hahahahah..... Janjawidi huyuuu!!!
wanaishi kwa BOFLO kwa UBWABWA siku nzima, kura mia mia....
Angalia muda, hiyo ilkuwa closing remark for the day!!
Nondo zipo pale pale, jirekebisheni Zenji salama yenu ni Tanganyika, mkiachiwa lazima mtachinjana!
Tofautisha political na criminal killings.Salama ya Watanganyika iko wapi....? Mbona mauwaji ya kutisha tunayasikia kila wakati, Mara vikongwe, mara Albino, na kesho utasikia wakulima kwa wafugaji.. Usalama wa kwenu umewashinda kisha ya Zanzibar mutayaweza wapi...?