Hivi pasaka ilikuwaje huko?
ilikuwa poa. ulikosekana wewe tu
Zion Daughter leo siku ya wajinga usije ukanaswa
Zion Daughter leo siku ya wajinga usije ukanaswa
Ha ha.. Halafu alifoji bima huyu Bujibuji ujue..! Atadai mpaka makaratasi ya bima yamefukiwa na kifusi..
ana akili mbofu ka dingi yake!
hahaaaa!