manoah..............

manoah..............

oooh.. mama umetokea wapi man? sosoliso Soon utapata mualiko wa siku ya mimi na mimisa tutapo kwenda kubarikiwa
Copy: Paloma Raiza na dady Bishanga na mama wa kufikia The secretary na mama yangu mpenzi gfsonwin
Ha ha ha.. Mtoa sifa.. Bishanga.. Msifiwa.. manoah..

Halafu manoah mwenyewe kaachwa na mimisa.. Jee inawezekana Bishanga anamng'onga manoah..?

Mh hapa somthing's not kulia.. Ngoja niunde tume itakayoongozwa na Erickb52.. Ntawataja wajumbe wengine muda ci mrefu..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ah ah! Mpe hi Paloma .. Dady awezi kumtaka wife wangu mtarajiwa bana mkuu sosoliso
Ulidhani nimefunikwa na kifusi cha ghorofa la michanga eeh..! Nipo na Paloma yupo.. Ila kumbuka kikulacho.. Bishanga ana tabia mbovu sana.. Samaki hapishi chambo pale..! Wewe endelea kumuita daddy tu.. Mababa wa kisasa hawa..
 
Last edited by a moderator:
Raiza nawe pia unatakiwa ukuje siku hiyo sawa? Kuna juice nzuri ipo kwa ajiri yako
mimi nauliza wewe manoah mama yako ni gfsonwin na baba yako bishanga
hawa watu walioana?????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom