nimeyatupa, kaninunulie mengine
haya toleaneni siri za nyumbani kwenu mie nifaidike
kumbe manoah kuna makufuli disposal???
sosoliso mi ni muadilifu sana
mimi nauliza wewe manoah mama yako ni gfsonwin na baba yako bishanga
hawa watu walioana?????
uchumi umeyumba hadi majengo yanadondoka
hujakosea kabisa maamuzi yako
hujui siku hizi mbegu zinauvutano na mayai kama sumaku
hujakosea kabisa maamuzi yako
Mbegu ndio nini