Manji sema usiposema...

Ni hivi Manji alikuwa supplier wa JWTZ wa vitambaa vya jeshi ktk kipindi kilichopita.. kama ujuavyo majeshi yetu mambo mengi hufanya wazabuni hata chakula hupika wasio wanajeshi yaan wazabuni... so Magufuli yy hataki hiyo biashara lkn kumbuka mzabuni ana mkataba wake hapo ndipo tatizo lilipo.. pia MANJI ndio SUPPLIER WA TRANSFORMA ZOTE KWA TANESCO hapo pia magufuli hataki lkn jamaa ana mikataba halali.. kwa kifupi DEREVA NI MASIKINI HIVYO HAPENDI MATAJIRI.......
 
double standard.
Serikali hii ya awamu ya tano imedhamiria kupambamba na mafisadi. Na inabidi ianzie kwa watu fulani. Haiwezekani kuwa kamata wote kwa wakati mmoja.

It has to start somewhere !
 
Serikali ni SIrikali haiwezi sema vyote ila manji kashikwa si vibaya lowasa na mtandao wake wakianza kufanya mazoezi Ya kulala keko. Magufuli is a no nonsense Man lowasa na sumaye waanze kujiandaa kulala rumande
 
wanataka kumfunga ili asiweze kugombea ubunge 2020..maana jimbo la Ilala ni ukawa na lazima ataingia tu huko
 
Serikali ni SIrikali haiwezi sema vyote ila manji kashikwa si vibaya lowasa na mtandao wake wakianza kufanya mazoezi Ya kulala keko. Magufuli is a no nonsense Man lowasa na sumaye waanze kujiandaa kulala rumande
Ccm wanafk sana nyiee

Ova
 
Atueleze sare za jeshi kazipata wap?
Manji hapo awali slikuwa na tenda jeshini ni tenda ambayo imehujumiwa na magufuli kaamua kuivunja kisha kuja na sinema hizo kwa hali ilivyokuwa sasa yawezekana ni kumkomoa na kumbambikia kesi lakini nadhani kikwete atamsimamia kwa dhati kwani Uonevu wa kiwango cha kutisha umesambaa sasa
 
Inabdi jk aingilie kati maana ni balaa

Ova
 
ni kweli Manji alikuwa akifanya supplier hiyo na bado anawadai jwtz pesa nyingi magufuli kaamua kumkomoa makusudi nadhani wana ugonvi nae hasa kipindi cha kampeni manji hakumuunga mkono
 
Inabdi jk aingilie kati maana ni balaa

Ova
Magufuli ana kisasi na manji nadhani anatamani manji hata Afe kabsa ni hatari kuwa na Rais wa kupenda kuwakomoa watu kwa mambo yake binafsi kipindi cha nyuma
 

Inawezekana muhuri ulikuwa ukihusika na masuala ya "logistics" na "clearance" jule bandarini.

Si unafahamu mizigo ya jeshi huwa inapungiwa mkono tu na inapita au hufahamu hilo?

Halafu kumbuka hotuba ya kwanza ya waziri wa fedha alipozungumzia vyombo vya usalama na misamaha ya kodi kwa bidhaa zinazoingizwa nchini.

Unganisha dots hapo.
 
Magufuli ana kisasi na manji nadhani anatamani manji hata Afe kabsa ni hatari kuwa na Rais wa kupenda kuwakomoa watu kwa mambo yake binafsi kipindi cha nyuma

Mkuu, sidhani kama raisi John Magufuli anaweza kufanya hivyo unavyowaza.

Naona katika post zako mbili umeeleza kana kwamba unafahamu kinachoendelea.
 

Mkuu, hayo yooote uloyasema hayana ukweli wowote ule.

Manji hajawahi kuwa supplier wa vitambaa kwa JWTZ wala wa Transformer za Tanesco.

Pia Manji hana mikataba ya aina hiyo na taasisi hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…