Manji: Nchi yangu hainithamini



Mkuu pesa hiyo ikikamatwa Lowasa alikuwa tayari kakatwa
 

Mara nyingi uko gentle and genuine. Lions club ilikuwa nzuri mwanzani ila kuanzia wahindi wajazane humo imeharibika. Hata ukiangalia hao wanaopelekwa India kwa sasa na lions club asilimia kubwa ni waasia. Ubaguzi bado upo, kwamba kuoa hao mabinti wa kiasia ni lazima uwe kiongozi?
 
Last edited by a moderator:
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga

Duuuuuu! Majizi na mafisadi yamesaidia sana hii nchi! Tumefika hapa tulipo kwa sbb ya majizi na wakwepa kodi! Jpm hamchukii mtu, anasimamia sheria na katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu unao ushahidi ??!!??
 
Manji tunasubiri majibu kutoka kwako
 
Siwi mbaguzi, lakini suala hili lazima serikali ya Magufuli iliangalie kwa umakini: Sehemu kubwa ya Utajiri wa Tanzania imeshikwa na Wahindi.
Je sehemu kubwa ya uchumi ingeshikwa na wamakonde?
Kuna tofauti hapo?
Bado raisi angetakiwa kuwa makini?
Nini !mantiki ya hoja yako?
Kwamba uwaaminiuwaamini wahindi ktk ulipa Kodi? Huamini kuwa watatunza pesa Tanzania? Huamini kwamba hawa ni wenzetu?
Hebu fafanuu!
 
Nahofia tusijejuta..Maana miaka ya 70 Nvchi hii ilikabidhiwa wazawaa (yakiwemo kila kitu intact,Viwanda 500,Makampuni 1800,mashule maHospitali ,nk,nk) Mmmmh waddugu haikuchukuwa miaka 4 tuu... Muflisi na sabotage juu !!
mmmH waTz,,,bhana!! Sasa tunataka tena kunyakuwa na kubadhilishana kufedhehesha Umma !!
2kimo Goodrich
 
Watu wengine hawana shukrani kwa kweli, Lipumba kusoma hajui na hata kutazama picha hawezi.
 
Hii sio nchi yake. Nchi sip kama nyumba au gari unamiliki peke yako.
Hata kama ni nyumba, migogoro ni kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
magufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
Rejea saga ya enzi magu akiwa ardhi? Ninaongea na mwenye m*** na sio mb**** jeuri ya rupia. Sasa mwenye hayupo. M*** ndio mwenye!!!/ patamu haopo. Ajiinuaye..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…