DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,305
- 2,719
wewe ngombe jike unanifahamu vizuri uniambie hayo maneno yako ya heat period.
Swali la kujiuliza Jamal alikufa wapi,waislamu tumeagizwa kuzikwa unapokufia na haraka iwezekanavyo. Ukifa umekufa, kakuzika nani, umekufa wapi na umezikwa wapi haisaidii kitu,Allen Kilewella njoo ujibu hili Swali ....Jamal alizikwa wapi!?
Dio Athiri ni Asili
Nchi yake ipi? Tanzania? Ngoja nikae kimya
Tatizo langu na nyie Daud1990 ni kuona kwamba Mmakonde aliyetokea Msumbuji wakati wa nchi hiyo inapigania Uhuru wake akaenda Masasi kuishi na vizazi vyake bado vipo pale mpaka sasa, hao hamuwaiti watanzania wenye asili ya Msumbiji! Huu ni ujinga wa kibaguzi kwa misingi ya rangi. Kuna viongozi lukuki ambao walitoka nchi nyingine na hatuoni mkiwaita ni watanzania wenye asili ya nchi hizo. Nyie ni wabaguzi kwa misingi ya rangi kwa kuwa ni Rahisi kuiona.
Oscar Kambona na wenzake kina Lifa Chipaka asili yao ni Malawi lakini hamkuwaita ni watanzania wenye asili ya Malawi, Kwa nini? Unajua Pia kwamba Abeidi Karume Baba yake alikuwa na asili ya Malawi lakini alipokuwa Rais wa Zanzibar mbona hamkumwita Mzanzibari mwenye asili ya Malawi? Ila sijawasikia mkiwaita waarabu kama ni watanzania wenye asili ya Uarabuni, ni kwa nini??
Nimekutolea mifano ya kina Joseph Mungai, hao kina Idd Simba, Maurine castico, Bashe, Aden Rage, Abdulrahaman Kinana, hao wote wana asili zao lakini huwa hamuwaiti kwa asili za nchi zao. Hoja yangu ni kwamba ni rahisi kwenu kuwaita hao ni "watanzania wenye asili ya India" kwa kuwa wanaonekana na kutambulika kwa rangi zao, hao "waswahili" wenzenu kwa kuwa mnafanana nao rangi basi mnawaona ni "ndugu zenu".Hivi kina Abdulwahid Sykes asili yao ni wapi hasa hawa "wenzetu" hebu Mohamed Said uje utuambie kwao ni wapi hasa!?
"Ubaguzi ni kama kula nyama ya mtu... ukianza huachi..." Julius Kambarage Nyerere 1995
Ngoja niwe muwazi tu kwa kuwa msema kweli ni mpenzi wa Mungu,na kwa kweli nikisema kweli nitaitendea haki roho yangu.Nawashangaa sana Watanzania wanaowapa Wahindi au Waarabu uongozi wa aina yeyote,iwe uenyekiti wa Yanga au hata ubunge na udiwani.Kwani waswahili wenzetu hatuwaoni.Hivi mantiki hasa ni nini,kwamba watakatiwa vipesa kidogo au nini.Hawa watu kwanza ni wabaguzi na wana dharau sana.Hivi waswahihili hatujifunzi kutokana na ushahidi mdogo mdogo tu.Waarabu au Wahindi wangapi wameolewa na Waswahili.Hivi unaweza ukapewa ubunge au uongozi wowote India au Saudia kweli.Tutawaaminije hawa kiasi hicho mpaka tuwape dhamana ya kutuongoza?Sio mbaguzi,lakini siwaamini kihivyo.Kwanza hawa jamaa wanatafuta uongozi ili waweze kufanikisha uovu wao wa kibiashara na maslahi yao binafsi.Nia yao hasa sio kutusaidia katika maendeleo yetu.Ni lazima tuamke.
Baada ya kuyaweka hayo bayana sasa nimzungumzie Manji binafsi.Manji alitaka watanzania wamdhamini au wampende kwa lipi hasa.Kwa kushirikiana na viongozi wasio waadilifu kutuibia?Nani asiyemjua Manji,labda zezeta.Nirudie tena,nawashangaa hata hao waliomchagua kuwa diwani.
Ndugu yangu mtembea kwa miguu sijakataa kwamba Wahindi wengi sana ni wabaguzi, lakini pamoja na ubaguzi wao mimi hoja yangu ni kwamba hiyo tabia yao ya ubaguzi haiondoi Utanzania wao!! Kuwa watanzania ni haki yao wengine ya kuzaliwa na wengine ya Kikatiba. Na kuna watu humu hawajui kwamba baada ya Uhuru Mwalimu alitangaza wale wote walio Tanganyika kwa wakati huo wote wanakuwa ni Watanganyika labda wao wenyewe watake kuukana Urai wao wa Tanganyika!!
Mpendwa Kwambuzi !!
punguza jazba na ukubuhu wa ubaguzi... Uwe mkweli jee wajua HOSPITALI ya MUHIBILI ILIJENGWA NA nani??
Jee wajuwa IKULU ya magononi ilijengwa na nani..??
Jee wajuwa Jiji la DAR lilijengwa na nani?
Jee wajuwa Chuo kiku cha USDM, UDOM lilifadhiliwa na nani..??
Jee wajuwa Masirika ya UMMA zaidi 150 alikuwa milik ya nani..??!!
Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni.
Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe..
Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga.
Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini?
Atueleze vizuri..
wewe ni juhamagufuli anamchukia sana Manji, sijui alimfanyia nini...manji amesaidia watu wengi sana mpaka club yetu ya Yanga
mkuu achananaye huyo! watu w namnahiyo wakupuuza tu...ubaguzi umemjaa hana loloteMpendwa Kwambuzi !!
punguza jazba na ukubuhu wa ubaguzi... Uwe mkweli jee wajua HOSPITALI ya MUHIBILI ILIJENGWA NA nani??
Jee wajuwa IKULU ya magononi ilijengwa na nani..??
Jee wajuwa Jiji la DAR lilijengwa na nani?
Jee wajuwa Chuo kiku cha USDM, UDOM lilifadhiliwa na nani..??
Jee wajuwa Masirika ya UMMA zaidi 150 alikuwa milik ya nani..??!!
jee wafahamu Shule za za msingi,sekondari na high school zilijengwa na nani...?
Kumradhi sana hujui kama kuna taasisi za kijamii (lions club,HHA,DYCC,Yatima, foundations nk nk nk) zina hudumia wananchi na kuwalipia masomo/malezi/missada na matibabu ndani na nje ya nchi...!!!
Ndugu yangu umelishwa chakula chenye chuki, na kuvishwa miawani yenye ubagauzi...
Jee wajuwa kuwa wakuu (Viongozi wengi nchini) wake zao ni hao uliyo wataja na kuwa nasibu na "ugeni" ?!!?
Sasa hao wa ESCROW na EPA na RICHMOUND NK NK NI akina nani..!?!!!?!?!?!?
Ukishindwa kuukana UFISADI.... basi usijumuishe au kujumlisha au usiwahusishe jamii fulani...!!!!
Mapungufu na uozo upo kila pembe za nchi.....
Kila la heri...
Dikson mpemba Hapa Duniani hatuishi na malaika!! Hakuna aliye msafi au Mla hewa!! sote tunafanya kazi na kuchuma tulicho wekeza !!!

Chuo kikuu cha USDM ni nin?
Unauliza Escrow, EPA na Richmond ni nani? Kuna pesa imeibiwa bila wahindi Nchi hii?
Laiti Ningekua Rais wangetafuta Nchi ya kwenda
Kuna tangazo linarushwa Clouds, Manji Diwani wa Mbagala kuu ameonekana akilalamika sana juu moja ya kampuni yake kuhusu uendelezaji wa ufukwe Coco Beach. Ameeleza mengi mpaka suala la Magomeni. Ameeleza mafanikio yake kupitia kampuni yake ya Quality Plaza na dunia inavyomthamini. Ila amesema nchi yake haimthamini.. Sijajua nini maana ya Manji kusema nchi haimthamini, anakusudia nini Maana nchi ni watu na viumbe.. Anasemaje sisi watanzania hatumthamini wakati tumempa udiwani Mbagala na tumempa uenyekiti Yanga. Naomba Manji atupe ufafanuzi ni nchi haimthamini au viongozi ndio hawamthamini? Atueleze vizuri..
Anadhani kuwa bado tupo kwenye utawala wa JK