Manji: Nchi yangu hainithamini


uyu igwite ibyata maanake ameshiba anabeua msamehe mwenye shibe hamjui mwenye njaa. mtu ukimkaribisha sebuleni anataka aingie chumbani kosa ukimkaribisha chumbani atataka hata stahiki yako iwe YAKE. MUACHENI AENDELEE KUBEUA WATANZANIA WANGAPI HAWANA FURSA KAMA YEYE AU YEYE ANA HAKI KULIKO WENGINE?
 

Aende tu...ajira gani hebu tujulishe? Labda huko Yanga
 


hilo utajibiwa siku nyingine mkuu..cha msingi hapa Manji analalamika nchi haimthamini.

kwani yeye aliithamini lini labda?
Manji anaishi Tanzania ila sina uhakika kama ni Mtanzania
 
@Elli ndiyo Tanzania ni nchi yake kwani ana uraia wa nchi nyingine? Kuna tatizo la watu kuwaza kwamba wahindi siyo watanzania. Ni bahati mbaya sana!!

kwa nini hawako jeshini au kuna sheria inazuia wao ni biashara tu kama vp warud india
 

una akili ndogo sana afanye uharamia wa kutoka lipa kodi alaf aachwe maguful kaza hao wahndi
 
Mbona speech ya JPM ilisema wazi wazi tuu kuwa Tanzania ni kubwa na mapori yapo mengi wakaombe hati wapewe waendeleze basi vivyo hivyo beach zipo nyingi si mkaombe vibali muanzishe hata nyingine tuu kama kweli mna pesa kwa nini kung'ang'ania Coco kuna nini ndani yake!??
Usitutanie bwana kwanza tuna machungu na kiwanja cha msikiti umekichukua halafu unaomba msaada kwetu si ukawekeze kwa watu Bil 2 huko kwenu India faida utapata nono sn Tze unapang'ang'ania sana vibaka tuu nyie...
Watu hamna hata hofu na Mungu wa nini kuwaendekeza...huyu Magufuri lazima MSANDE!!!
 
Somji Juma unataka kusema kwenye hiyo hotuba Mwalimu alisema kwamba Wahindi si watanzania? Halafu wewe matumbo rudisha ile "Avatar" yako ya zamani maana ndiyo ilikuwa inasawiri akili zako zilivyo. Nilikuwa najenga hoja kwamba mimi kusema kwamba Manji mwana CCM mwenzako ni Mtanzania sina maslahi naye kwa vyovyote vile bali ni kutokana na kuamini anazo sifa za kuwa mtanzania. Mpaka sasa sijajibiwa sifa za kuwa mtanzania ni zipi ambazo Manji hana!

Kuwa ni fisadi inawezekana akawa fisadi kwa sababu yuko kwenye taasisi ambayo inaamini kwenye nchi yetu hakuna ufisadi. CCM inasema tanzania hakuna ufisadi wa kimfumo!
 
Can't competate with all nations,jams ifanyike tathmini makini alipwe mwendelezo ambao ameufanya / kwa umakini mkubwa.
 
yeye ndiye aithamini kuifanya shamba la bibi, ujanja ujanja mwingi kila siku wizi tu.
 
Hivi huyu Manji ndiye yule aliyepewa Tenda Na Manispaa ya Kinondoni kutengeneza matela ya kusomba takataka Na Lukuvi akiwa Mkuu Wa mkoa Wa Dar akagoma kuyazindua kutokana Na kuwa chini ya Kiwango?
 

Inamaana kama umarekani kuna ubaguzi na sisi tuige mfano wao,kwanini tusiige vizuri wanavyofanya, huoni ubaguzi unavyopigwa vita ulimwengu mzima, wewe kinacho kusumbua ni wivu na ubaguzi, nakuonea huruma saana.

Wizi, hauna kabila,dini, nchi wala rangi, ni suala la mtu binafsi. Kila kabila kuna wezi. Unaitaja India wezi nitajie nchi moja haina wezi.
 
kwa nini hawako jeshini au kuna sheria inazuia wao ni biashara tu kama vp warud india

Walikuwepo jeshini , polici na matrafic. Na hakukuwepo na rushwa kama sasa.
Siku ya uhuru aliepandisha mwenge usiku ule bendera ya uhuru ikipanda na mwenge kuwekwa juu ya mlima kilimanjaro alikua ni kaptain kashmeer , mhindi wa kisutu.
Huyu pia ndie pekee ilionekana anaweza kumkamata luten canali ALi Mahfoudh wakati wa kesi ya Karume. Kina Seif Bakari wote walimgwaya wakimuogopa wakampa kazi hio yeye.
Siasa ya ubaguzi ya Africanazation ilio anzishwa na Nyerere ilawatoa jeshini , TRA Polisi na sehemu zote za serikali wahindi , waarab ...na mpaka leo ndio policy ya nchi ya kutoajiri watanzania hawa.

Ni ubaguzi lakini kwa vile ni weupe na nchi ya weusi haionekani ni tatizo ..tunasonga mbele.
Hivyo usilaumu ni policy ya ubaguzi. Leo hawa raia wa asili hizi wameengezeka sana na hawawezi pata ajira serikalini , watoto wao inabidi wauze duka , au waende nje kuishi. Au waajiriwe na makampuni ya jamaa zao.
Tofauti yetu na kenya , ni kuwa kenya wao kwenye ajira hasa kazi za proffessional hata za kisiasa wanaangalia uwezo wao na uzalendo kwa kenya. Ndio maana kenya si ajabu kuwa na msomali kama mkuu wa polisi au mkuu wa majeshi.
Sio ajabu kuwa na mwarabu kama waziri wa utalii
Na sio ajabu kenya kumuonamzungu kuwa mkuu wa bodi ya utalii , Tume nyingi kama ile ya katiba iliongozaa na mwarabu na tume yao ya uchaguzi pia ilikua na msomali.....mmoja ya strong politician in kenya alikua ni mwaraabu Nassir Sharif wa mombasa....kenya kwa kutumia nguvu kazi za wakenya wote bila ya ubaguzi imetuacha mbali sana.

Kule marekani , canada ni mataifa ya wageni , makabila mengi , wazungu tofauti, imepiga hatua kubwa kutokana na kuwa rainbow state...watu wa rangi tofauti akili tofauti utamaduni nk...
Sisi mchanganyiko huu tunauona nuksi , watu kama wewe unahubiri only african TAnzania. ...tuombe iwe hivyo muwafukuze wote....labda ndio mtapata maendelo makubwa
 

fanya kazi wewe..men mzima unafatilia nyumba za watu huoni aibu.. dah! sasa unataka wakajichanganye ili iweje?so u not 2 stay inside u refrain from evil? au hulijui hilo? sisi kazi yetu si ni zogo,majungu hatuna kazi nyingine ndiomaana hatuendelei
 
Tumia akili japo kiduchu tu, unawajuwa Wahindi? Jamal aliaminiwa na nyerere na akampa uwaziri wa fedha hebu tueleze alipokufa alikwenda kuzikwa wapi? hivi ujinga ni kipaji kumbe?

Allen Kilewella njoo ujibu hili Swali ....Jamal alizikwa wapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…