Mkuu kwani vidole vya mkono wako vinalingana?Hata Mimi ninashangaaa, kuna sitofahamu.
Kumbuka, akina TID na wenzake walitolewa central police kwa defender hawa watu wawili walibebwa na Land cruiser (Shangingi) tena wakiwa na wana sheria wao.
Walilala mahabusu ipi?? Gwajima atajibu ibada ya jumapili
We una mme?Iwe mahabusu au la lakini usiku wa jana walikuwa chini ya ulinzi tena mbali na wake zao.
Bado unaamini binadamu wote ni sawa?Hata Mimi ninashangaaa, kuna sitofahamu.