maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Kwa nini wasiite Quality Group kama walivyofanya GBP.SEA CLIFF.....................This is bad kukomaa na mtu badala ya taasisi
nikiona chenge jk rizwan wamiliki wa meremeta lugumi nk wapo lupango ndo nitaona tofauti ya magufuli .............. otherwise figisu tuI understand where you are coming from...
Hatujawai kuona tajiri akilala lupango tena kwenye makosa ambayo yanawahusisha maskini pia. Hii hata Makonda ameiongolea kwamba kupindi cha nyuma matajiri walikuwa wanapigiwa simu waende kituoni kuyamaliza kimya kimya!
Kwa sababu hatujazoea kuona haya ndio tunaanza kufikiria mambo mbali mbali, "ana andamwa". Lakini mpaka mwisho wa awamu ya Magufuli tutakuwa tumeshazoea kuona tajiri na maskini kwenye mikono ya sheria wana shungulikiwa sawa!
Kama ana makosa sheria ichukuwe mkondo wake siyo afanye makosa kwa kisingizio cha uwekazaji. China hata ukiwa na ukwasi uliopitiliza lakini ukipatikana na kosa la rushwa lazima unyongwe sisi huku ukiwa tajiri hata kama umefanya makosa yaliyowazi utatetewa na watu wengi wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa kwa kujipendekeza kwako na hii inatokana na umaskini tulionao.
Si vibali vya kuishi Tanzania mkuu,bali ni vibali vya kufanya kazi Tanzania.Tofautisha Resident permit na Work permit.sawa so hapa ni kwamba hawana vibali vya kuishi tz waje hata ofisini kwetu wapo kibao wanajifanya wahindi wa kariakoo kumbe wa hukoo bombay
yap nilikuwa namaanisha hivyo sorrySi vibali vya kuishi Tanzania mkuu,bali ni vibali vya kufanya kazi Tanzania.Tofautisha Resident permit na Work permit.
Ili upate work permit Ni lazima uwe na resident permit.So Hawa hawana work permit but Sana resident permits!!!
Kwa hiyo km ana makosa asishtakiwe??embu fafanua,halafu mseme serikali imemuogopa,watz bn,ifike muda sasa mjitambue,akishashtakiwa kwani ndio mwisho wa maisha?si atarekebisha mapungufu ili aajiri watu kihali,sasa yeye km mtu ana utajiri wote huo why aajiri watu kinyume na sheria?kisa ana pesa?eboooo ashtakiwe mengine yatafuata.Hii nchi tunakoelekea sio kuzuri, kuiendesha nchi kwa chuki ni dhambi kubwa sana, Manji ni mtu aliyetoa ajira kwa maelfu ya watanzania leo hii anapoanza kunyanyaswa na kujaribu kufilisiwa ni wapi watapata kipato hao maelfu ya waajiriwa? ni wapi serikali itapata kodi ya mapato? hizi siasa za chuki zina laana mbele yake
Kwani Mihogo haifai kuliwa na Wapakistan?Waje NIDA, kiwanda cha khanga wapakistan kibao tunakula nao miogo uswahilini.
kabla ya kumkimbiza waangalie kampuni zake hizo 23 zinachangia kodi kiasi gan alafu wafanye busara kati ya kumkomoa au kumuacha na nchi ineemeke kwa kuchukua kodi kutoka kwenye makampuni yake.sasa wanataka kumkimbiza tz huyo mhindi, kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza
Usishangae dadaangu sasa tunafuata siasa ya bush mtoto, aliposema, kama haupo na mimi you are against me. hakuna kingine katikati.This is too much jamani!
Nchi yenyewe masikini hii tajiri mwema kama Manji aliyetoa ajira kwa maelfu ya Watanzania ananyanyaswa sababu ya chuki za kisiasa.
Kwenye madawa mmekosa la kumtia hatiani mmehamia kwenye passport,soon mtafikia lile lengo lenu la kunduchi beach.
Time will tell...
wahivyo wapo wengi saaaana wachina na wahindi wengi wanaishi kinyume cha sheria wengi tuu yaani hapa ofisini kwetu miez 6 iliyopita ilikuwa kasheshe walikamatwa NA WALIRUDISHWA MAKWAO BAADA YA KAMPUNI KULIPA MAPESA KIBAO MILION 100 NA USHEEWaje NIDA, kiwanda cha khanga wapakistan kibao tunakula nao miogo uswahilini.
Kwa ulichokiandika acha ajira zibanwe tu .. Kiumbe kama wewe kupewa kodi za watanzania kama mshahara nikuliingizia taifa hasaraEWGM'sJF-Expert Member
[HASHTAG]#261[/HASHTAG]
5 minutes ago
New
↑
Kabla hujaanza kuuliza hayo masuala jiulize Kwanza unaemuuliza ni nani immigration na wewe ni nani immigration
ana elimu gani kwenye immigration na wewe una elimu gani kwenye immigration,
ana cheo gani immigration na wewe una cheo gani immigration,
kazi kaanza lini immigration na wewe kazi ulianza lini immigration.
Ukishapata majibu ya hayo maswali ndio uulize sasa maswali yako.
Ni kweli Manji "stepped down" I think last yearTumekuelewa ila sidhani kama kwenye hili anakesi ya kujibu. Nafikiri ungeshughulika na Wakurugenzi pamoja na maofisa uajiri wa hiyo Kampuni ili uwaulize ni vipi watu hao wanafanya kazi bila vibali. Kwamfano kunawachezaji mpira ambao walikuwa wanacheza mpira bila vibali je ni busara kwenda kumkamata mwenyekiti wa Timu? Kesi nyingi serikali inashindwa kwa kutojipanga vizuri ukizingatia watu kama hao wana mawakili wabobezi ambao sio rahisi kuwa mudu. Mfano mzuri ni juzi kesi ya Lissu, hivi katika hali ya kawaida mwendesha mashtaka wa serikali anaweza asijue MATAKWA YA KIAPO? walifika mahakamani kiapo hakina jina la mwenye kiapo!!!!! hakimu hakuwa na la kufanya Tindu Lissu akatoka, Kamishna una muda mzuri wa kujipanga. Halafu inaeleweka wazi kuna watu wengi wanafanya kazi Tanzania bila vibali sasa kama ni mkakati basi usiishie kwenye waajiriwa wa manji muende mbali zaidi.