Manispaa ya Kinondoni yapata 'Division one' tano tu!

Manispaa ya Kinondoni yapata 'Division one' tano tu!

Jiulize kwanza wewe kama haya uliyoandika kama yana "ethics". Au umedhani walimu hawatajui maana ya ethics?
Eti ethic...........! Ethic mwenyewe...............!!!!!!!!!!1

khe...!
 
kumbe anamaanisha za serikali!? yeye aliandika kuwa shule za manispaa ya kinondoni zipatzo 17...... nilidhani shule zilizomo katika manispaa ya kinondoni.

nashauri mtu akiandisha thread awe amejipanga vizuri akiwa na ushahid wa kutosha na aandike lugha inayoeleweka.

tuko pamoja!

Kwa uelewa wako katika Manispaa ya Kinondoni ukikusanya shule zote za public na private unapata shule 17?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom