Ni waziri yupi yule kilaza wa enzi ya Mkapa-Mungai Joseph nadhani, aliyefuta somo la kilimo skuli na huku akifahamu kuwa kilimo ndiyo uti wa mgongo wa taifa hili na wawekezaji wengi wanakuja kuwekeza kwenye kilimo.
Je huyu naye si anawajibika? awajibishwe hata kama yu kaburini kwa kutunyima maelfu ya Wanafunzi ajira wakati ujao? Hili nalo litakuwa fundisho kwa maccm.
Lile somo was just waste of time and money,halijamsaidia mwanafunzi yeyote au taifa ni bora walipolifuta