Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,499
Feza boys n girls zipo wilaya gani?
Vp nazo siku hizi ni za kata?
Feza boys n girls zipo wilaya gani?
Wewe + Mnyika + huyo diwani = vichaa.
Unaijua manispaa ya kinondoni na mipaka yake? unajua shule zilizopo ndani ya manispaa ya kinondoni? kwa kukusaidia moja ni Feza boys, na yenyewe pekee ina div one (1)=48, div two (2)=20 na div (3) 8. Sasa hao wapuuzi wenzio kawashauri ya kwamba, div 1 sio jambo la msingi sana na wenda hata wao hawakuipata, cha msingi ni kile kiwango cha ufaulu kilichowekwa na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kufikiwa.
Kwani huyo mto mada katoa takwimu zipi? zaidi ya kusema tu na watu wanamsapoti.
Sasa kama unafahamu mtu akikwambia wilaya ya kinondoni bila ya kunyambulisha anachokimaanisha! na mimi nataka kumwambia kama kiwilaya shule ya Feza ipo kwenye wilaya ya kinondoni na imetoa Div I 48, lugalo ina div I 3 au ana Kinondoni anayoimaanisha?
Nadhani vema kuanza kujiuliza kama siasa ina ethics kuliko kuanzia kwa walimu ndo tutapata uhakika wa mazungumzano. Vinginevyo tunapoteza muda...! Kwa maoni yangu siasa ya TZ haina ethics na kwa hiyo mengine yote yanakosa ethics na ndo maana kuendelea ni ndoto za mchana. Tukitaka kwingine kote kuwe na ethics, tuanzie kwa viongozi (siasa) maana ndo watunga sera, watekelezaji na wawajibishaji. Kama hawana ethics nani atawajibika kwa watoto kufeli?
Wewe + Mnyika + huyo diwani = vichaa.
Unaijua manispaa ya kinondoni na mipaka yake? unajua shule zilizopo ndani ya manispaa ya kinondoni? kwa kukusaidia moja ni Feza boys, na yenyewe pekee ina div one (1)=48, div two (2)=20 na div (3) 8. Sasa hao wapuuzi wenzio kawashauri ya kwamba, div 1 sio jambo la msingi sana na wenda hata wao hawakuipata, cha msingi ni kile kiwango cha ufaulu kilichowekwa na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kufikiwa.
alieanzisha thred anajua akimtaja mnyika hataa kama ameandika pumba kila mtu atamuamini. manispaa ya kinondoni ina shule za sekondari 17! hapa jamii frms sasa hivi naona great thinkers ni wachache sn! nakushukuru kwa kutoa mfano wa feza schools!
Nipo kwenye mkutano wa hadhara hapa mwananyamala!makamanda wanaungurumisha wakiongozwa na mh. Jj Mnyika!diwani wa kata ya Saranga ametoa taarifa kwamba shule za manispaa ya kinondoni zipatazo kumi na saba division one ni tano tu!haya yote ni matokeo ya uozo wa mfumo m'bovu wa ccm!kaa chonjo 2015 mabadiliko lazima!
Kwani huyo mto mada katoa takwimu zipi? zaidi ya kusema tu na watu wanamsapoti.
Sasa kama unafahamu mtu akikwambia wilaya ya kinondoni bila ya kunyambulisha anachokimaanisha! na mimi nataka kumwambia kama kiwilaya shule ya Feza ipo kwenye wilaya ya kinondoni na imetoa Div I 48, lugalo ina div I 3 au ana Kinondoni anayoimaanisha?
Uongo mtupu, ninaifahamu shule moja ambayo ina division one zaidi ya 10 !!!!!
achane kuwa wavivu wa kufikiri, kwa reference ya loyora tu one zipo kumi na tano,achane kudanganywa na wanasiasa watoe majawabu matatizo,na sio kua kama mtaji!
Feza boys n girls zipo wilaya gani?
Inamaana hata St Marys. Hakuna kitu? Au anamanisha shule za kata?
Wewe + Mnyika + huyo diwani = vichaa.
Unaijua manispaa ya kinondoni na mipaka yake? unajua shule zilizopo ndani ya manispaa ya kinondoni? kwa kukusaidia moja ni Feza boys, na yenyewe pekee ina div one (1)=48, div two (2)=20 na div (3) 8. Sasa hao wapuuzi wenzio kawashauri ya kwamba, div 1 sio jambo la msingi sana na wenda hata wao hawakuipata, cha msingi ni kile kiwango cha ufaulu kilichowekwa na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi kufikiwa.
CHADEMA wangejaribu ku-break down kwa kila jimbo ili wabunge wa CCM waone madhara ya ndiyo zao bungeni. Kawambwa bado yuko ofisini anacheka. Kama Chami, Mkulo na Omar Nundu waliondolewa kwa sababu za kiutendaji, kwa nini Kawambwa abaki wakati generation inageuzwa mbumbumbu? 94% wamefeli, bado wana matumaini na Waziri kuwa ana jipya?
Taja jina la shule!
Feza kumbe inamilikiwa na serukali
loyola ipo ilala kwan? Fedha boys n girls,data za uongo.
kwa hiyo hzo za private zipo wilaya mpya ya kinondoni private?
kwa hiyo hzo za private zipo wilaya mpya ya kinondoni private?
Feza kumbe inamilikiwa na serukali
Hivi kwa nini inaonekana kama vile ni jambo la kuidhihaki serikali eti kwa sababu walimu wamefelisha wanafunzi kwa sababu madai yao hayakusikilizwa,hii kazi ya ualimu haina ethics?