Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #181 taamu said: Ndio hakika yenyewe Click to expand... Ni kweli mkuu
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #182 Mr Dudumizi said: Hahaha hivi Chanika ipo Ilala au Temeke? Click to expand... Chanika ipo Ilala mkuu.
Mr Dudumizi said: Hahaha hivi Chanika ipo Ilala au Temeke? Click to expand... Chanika ipo Ilala mkuu.
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #183 Mr Dudumizi said: Sisi wana Kinondoni ndo madon wakubwa wa nchii hii, hili kila mtu analifahamu. Click to expand... Na wana Ilala nao watakwambia kuwa wao ndio wenye mji wao, hilo kila mtu anajua πππ
Mr Dudumizi said: Sisi wana Kinondoni ndo madon wakubwa wa nchii hii, hili kila mtu analifahamu. Click to expand... Na wana Ilala nao watakwambia kuwa wao ndio wenye mji wao, hilo kila mtu anajua πππ
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #184 Annie X6 said: ilala city Council ina bandari Ina Mwendokasi Ina Manispaa ndani ya Jiji la ilala Ukifuatilia sifa jiji utagundua ilala imemaliza kazi Saaa basi Mapato ni makubwa kutokana na population. Ni katika majiji yanayojitegemea na huko mbeleni watawajibikq kuimarisha huduma waendane na wakati Click to expand... Comment yako imejitosheleza vizuri sana. Nina imani wasioijua Ilala vizuri wakipitia hapa wataelewa kile ambacho walikuwa hawakijui.
Annie X6 said: ilala city Council ina bandari Ina Mwendokasi Ina Manispaa ndani ya Jiji la ilala Ukifuatilia sifa jiji utagundua ilala imemaliza kazi Saaa basi Mapato ni makubwa kutokana na population. Ni katika majiji yanayojitegemea na huko mbeleni watawajibikq kuimarisha huduma waendane na wakati Click to expand... Comment yako imejitosheleza vizuri sana. Nina imani wasioijua Ilala vizuri wakipitia hapa wataelewa kile ambacho walikuwa hawakijui.
Doto Dotto JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 4,037 Reaction score 3,034 Feb 16, 2024 #185 Yani ukienda Masaki Utadhani sio Tanzania
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #186 Doto Dotto said: Yani ulienda Masaki Utadhani sio Tanzania Click to expand... Utadhani sio Tanzania kivipi mkuu, ebu fafanua kidogo tafadhali..
Doto Dotto said: Yani ulienda Masaki Utadhani sio Tanzania Click to expand... Utadhani sio Tanzania kivipi mkuu, ebu fafanua kidogo tafadhali..
Ituzaingo Argentina JF-Expert Member Joined Jun 20, 2020 Posts 1,865 Reaction score 2,205 Feb 16, 2024 #187 Binafsi huniambii kitu kwa kigamboni na wilaya yenye osterbay na Masaki
Ituzaingo Argentina JF-Expert Member Joined Jun 20, 2020 Posts 1,865 Reaction score 2,205 Feb 16, 2024 #188 Mwanza and Dar πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½ Mwanzaπ Capripoint, Bwiru na ilemela to Malaika beach Darπ Masaki, kigamboni na Mbezi beach
Mwanza and Dar πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½πͺπ½ Mwanzaπ Capripoint, Bwiru na ilemela to Malaika beach Darπ Masaki, kigamboni na Mbezi beach
makedonia JF-Expert Member Joined Nov 17, 2014 Posts 4,335 Reaction score 3,616 Feb 16, 2024 #189 Twilumba said: Na wauza unga, mateja, wacongo na Marioo aka bentenz! Click to expand... Ilala hamna..?
Twilumba said: Na wauza unga, mateja, wacongo na Marioo aka bentenz! Click to expand... Ilala hamna..?
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,468 Reaction score 16,168 Feb 16, 2024 #190 makedonia said: Ilala hamna..? Click to expand... watumiaji wamesheheni!!
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,208 Reaction score 18,226 Feb 16, 2024 #191 Huu uzi umejaa watu wa mikoani wakijifanya wanajua Dar!
Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,965 Reaction score 14,518 Feb 16, 2024 #192 Akilihuru said: Na wana Ilala nao watakwambia kuwa wao ndio wenye mji wao, hilo kila mtu anajua πππ Click to expand... Mimi nimeandika vitu ambavyo vinajieleza vyenyewe mkuu, tofauti na hao wengine wanaforce tu.
Akilihuru said: Na wana Ilala nao watakwambia kuwa wao ndio wenye mji wao, hilo kila mtu anajua πππ Click to expand... Mimi nimeandika vitu ambavyo vinajieleza vyenyewe mkuu, tofauti na hao wengine wanaforce tu.
Mr Dudumizi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2020 Posts 7,965 Reaction score 14,518 Feb 16, 2024 #193 Doto Dotto said: Yani ulienda Masaki Utadhani sio Tanzania Click to expand... Sawa π sawa π
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #194 Ituzaingo Argentina said: Binafsi huniambii kitu kwa kigamboni na wilaya yenye osterbay na Masaki Click to expand... Osterbay and Masaki zipo katika wilaya ya Kinondoni mkuu
Ituzaingo Argentina said: Binafsi huniambii kitu kwa kigamboni na wilaya yenye osterbay na Masaki Click to expand... Osterbay and Masaki zipo katika wilaya ya Kinondoni mkuu
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #195 makedonia said: Ilala hamna..? Click to expand... Ngoja tusubiri jibu ππ
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #196 Twilumba said: watumiaji wamesheheni!! Click to expand... Kina chid benzi hao. Unakuta mtu anawashwa kichwani, yeye anajikuna miguuni πππ
Twilumba said: watumiaji wamesheheni!! Click to expand... Kina chid benzi hao. Unakuta mtu anawashwa kichwani, yeye anajikuna miguuni πππ
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,522 Reaction score 3,039 Feb 16, 2024 Thread starter #197 darcity said: Huu uzi umejaa watu wa mikoani wakijifanya wanajua Dar! Click to expand... Umejuaje mkuu πππ
darcity said: Huu uzi umejaa watu wa mikoani wakijifanya wanajua Dar! Click to expand... Umejuaje mkuu πππ
C chalugala Senior Member Joined Nov 22, 2010 Posts 142 Reaction score 279 Feb 16, 2024 #198 Mr Dudumizi said: Mimi M'kinondoni sema temeke ni manispaa ya kinyonge sana, hakuna hata kata moja ya uzunguni kama manispaa zingine π€£π€£π€£ Click to expand... Kijichi, maeneo Fulani ya kurasini na Chang,ombe mkuu
Mr Dudumizi said: Mimi M'kinondoni sema temeke ni manispaa ya kinyonge sana, hakuna hata kata moja ya uzunguni kama manispaa zingine π€£π€£π€£ Click to expand... Kijichi, maeneo Fulani ya kurasini na Chang,ombe mkuu
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,468 Reaction score 16,168 Feb 16, 2024 #199 Ciprofloxacin said: Wilaya ya ubungo ndo wilaya inayoongoza kwa idadi kubwa ya wachagaπ€£π€£π€£π€£ Click to expand... Tunakaa karibu na stand ya kwenda Moshi!
Ciprofloxacin said: Wilaya ya ubungo ndo wilaya inayoongoza kwa idadi kubwa ya wachagaπ€£π€£π€£π€£ Click to expand... Tunakaa karibu na stand ya kwenda Moshi!
Ituzaingo Argentina JF-Expert Member Joined Jun 20, 2020 Posts 1,865 Reaction score 2,205 Feb 16, 2024 #200 Akilihuru said: Osterbay and Masaki zipo katika wilaya ya Kinondoni mkuu Click to expand... Hapo ndio penyewe
Akilihuru said: Osterbay and Masaki zipo katika wilaya ya Kinondoni mkuu Click to expand... Hapo ndio penyewe