MANGULA: Sijui kama nitaweza

MANGULA: Sijui kama nitaweza

Baada ya jana kutamka kuwa anatoa miezi sita kwa waliogawa rushwa kupata uongozi CCM kujisalimisha,Makamu wa Mwenyekiti wa CCM-Bara,Phillip Mangula amesema kuwa hana uhakika kama ataweza kufanikisha alichosema. Mangula aliyasema hayo 'off record' nilipokuwa nikizungumza naye kuhusu uwezekano wa kufanikisha alichokisema Mkutanoni jana.

' Wenzangu walitoa miezi mitatu ya kuvua gamba wakashindwa.Sijui kama mimi nitaweza Mzee Tupatupa.Sijui...lakini nitajitahidi kusimamia nilichokisema. Nina 'support' ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu.Nawaamini sana' alisema Mangula akionesha sura ya wasiwasi.

More to come!

Huyu bwana amechoka kulima viazi na ameamua "kuitumbukiza nguo yake safi ndani ya tope la mafisadi". Wanamtumia huyu!!
 
wewe mwenyewe,katibu mkuu,mweka hazina wote sio waadilifu.utakachokifanya ni kuivuruga kabisa CCM.kwa nini miezi 6?
 
Jembe limevunjika mpini kabla hata ya kwenda kukata mbuga, CHADEMA chapa ilale
 
Kama anategemea support ya Mwenyekiti, Then he is doomed to fail because M/kiti is a part of the PROBLEM.

kama yeye (Mangula) is doubting Thomaso, basi aanze na Queen Sophia Simba M'kiti wa UWT because everyone except Kikwete knows that alitumia RUSHWA kuupata huo Uenyekiti. Aone kama hajarudishwa Iringa kulima Mchicha na nyanya!!

CCM hakuna mwenye uwezo wa Kupambana RUSHWA hata aje MALAIKA kutoka Mbinguni, because mfumo mzima wa CCM ni wa kulinda na kukumbatia rushwa. Ukienda against that MFUMO unakuteme. Ajaribu kumuuliza Nape na Magamba alifika wapi? Siku 90 zimegeuka kuwa miaka 90!
 
Baada ya jana kutamka kuwa anatoa miezi sita kwa waliogawa rushwa kupata uongozi CCM kujisalimisha,Makamu wa Mwenyekiti wa CCM-Bara,Phillip Mangula amesema kuwa hana uhakika kama ataweza kufanikisha alichosema. Mangula aliyasema hayo 'off record' nilipokuwa nikizungumza naye kuhusu uwezekano wa kufanikisha alichokisema Mkutanoni jana.

' Wenzangu walitoa miezi mitatu ya kuvua gamba wakashindwa.Sijui kama mimi nitaweza Mzee Tupatupa.Sijui...lakini nitajitahidi kusimamia nilichokisema. Nina 'support' ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu.Nawaamini sana' alisema Mangula akionesha sura ya wasiwasi.

More to come!

Nilipenda ile ya kuwafananisha wanachama wa CCM wanaohongwa ili wamchague mfulani na sambusa; nadhani vyama vya upinzani vimepata jina sahihi la wanaccm - ni sambusa Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
hilo halina ubishi hataweza kufukuza wala rushwa na watoa rushwa wenye chama hawatamruhusu aizike ccm, nani hatoi na kupokea rushwa ccm! afukuze wanachama wote
Baada ya jana kutamka
kuwa anatoa miezi sita kwa waliogawa rushwa kupata uongozi CCM
kujisalimisha,Makamu wa Mwenyekiti wa CCM-Bara,Phillip Mangula amesema
kuwa hana uhakika kama ataweza kufanikisha alichosema. Mangula aliyasema
hayo 'off record' nilipokuwa nikizungumza naye kuhusu uwezekano wa
kufanikisha alichokisema Mkutanoni jana.

' Wenzangu walitoa miezi mitatu ya kuvua gamba wakashindwa.Sijui kama
mimi nitaweza Mzee Tupatupa.Sijui...lakini nitajitahidi kusimamia
nilichokisema. Nina 'support' ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu.Nawaamini
sana' alisema Mangula akionesha sura ya wasiwasi.

More to come!
 
JK hataki lawama, amemtafuta Mzee Philipo na Abdu ili wamsaidie kuifanya kazi yake bila kuwaangalia nyani usoni si unajua wanajua mambo zake. Abdu na Philipo watatumika kubonyeza mende kisha mkuu atatokea baada ya maumivu na kuwapa pole huku akisema lakini "sikuwatuma mie" mmesahau ya waasisi JK na kawawa. wakati mwingine ndani ya mchezo wa siasa hayo nayo yamo. kwa sababu hapakuwepo na haja ya miezi sita kama alikili zimetumika rushwa katika chaguzi si alikuwa na uwezo wa kuzifuta zote; unapoambiwa CCM ni mashine kubwa ndo kama hivo.
 
Baada ya jana kutamka kuwa anatoa miezi sita kwa waliogawa rushwa kupata uongozi CCM kujisalimisha,Makamu wa Mwenyekiti wa CCM-Bara,Phillip Mangula amesema kuwa hana uhakika kama ataweza kufanikisha alichosema. Mangula aliyasema hayo 'off record' nilipokuwa nikizungumza naye kuhusu uwezekano wa kufanikisha alichokisema Mkutanoni jana.

' Wenzangu walitoa miezi mitatu ya kuvua gamba wakashindwa.Sijui kama mimi nitaweza Mzee Tupatupa.Sijui...lakini nitajitahidi kusimamia nilichokisema. Nina 'support' ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu.Nawaamini sana' alisema Mangula akionesha sura ya wasiwasi.

More to come!

Mangula siku hazigandi miezi sita siyo kitu isijekuwa kama mkama siku 90.
 
Afadhali nafsi yake inamsuta; maana ili aonyeshe makali itabidi aanze na JK na mawakala wake wa rushwa katika umoja wa BMW.
 
Baada ya jana kutamka kuwa anatoa miezi sita kwa waliogawa rushwa kupata uongozi CCM kujisalimisha,Makamu wa Mwenyekiti wa CCM-Bara,Phillip Mangula amesema kuwa hana uhakika kama ataweza kufanikisha alichosema. Mangula aliyasema hayo 'off record' nilipokuwa nikizungumza naye kuhusu uwezekano wa kufanikisha alichokisema Mkutanoni jana.

' Wenzangu walitoa miezi mitatu ya kuvua gamba wakashindwa.Sijui kama mimi nitaweza Mzee Tupatupa.Sijui...lakini nitajitahidi kusimamia nilichokisema. Nina 'support' ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu.Nawaamini sana' alisema Mangula akionesha sura ya wasiwasi.

More to come!

ha ha ha!
Mkuu,
hili tunalijua, Mh Mangula alikwishashindwa vita dhidi ya Ufisadi hata kabla hajaahidi kushughulikia mafisadi na wala rushwa!
alikwishashindwa kwa sababu kuu mbili;

-Chama chake cha CCM, ni chama cha mafisadi na wala rushwa

-zaidi ya asilimia 99 ya wajumbe wote waliochaguliwa NEC wamepita kwa rushwa

katika mazingira haya Mh Mangula hawezi kupambana na mafisadi wala watoaji na wala rushwa.

Hizi ni kauli tu za kisanii zinazotungwa na jamaa wa propaganda wa Lumumba.

Subirini...

Ila natoa Ushauri wa bure kama kweli yuko serious na hili

-amshauri mwemyekiti wake JK avunje NEC na kuitisha uchaguzi mkuu upya kwa sababu karibu wote walichaguliwa kwa rushwa >99%

-aondoe mafisadi wote ndani ya chama bila kujali uwezo na nguvu zao

Kama huu Ushauri utakuwa mgumu kwake basi vita aliyoitangaza yeye mwenyewe dhidi ya mafisadi na wala rushwa hataiweza
 
sasa kama hawezi si akae kimya tu kwani lazima ajitoe roho? Hajifunzi kwa wazee wenzake walioamua kukaa kando? Hivi kwanini asionyeshe mfano wa kuwapisha Vijana? au na yeye ni kijana? si walisema wazee wakae kando kupisha damu changa yenye kufanya maamuzi ya fasta fasta? hawa jama huwa wanaishia kujichanganya tu...yaani wakitaka kumuondoa Mtu watatafuta sababu kibao

si kama wamekaa kimya kwa kupenda wengi hawana uadilifu wa kumnyooshea kidole mtawala kama alivyokuwa anathubutu Nyerere.
Mwinyi?au Mkapa anayeweza kusema acheni kubaka rasilimali na haki za watanzania!
Licha ya kuhudumiwa hadi mwisho wa maisha yake leo rais mstaafu yuko mahakamani katapeliwa kodi ya nyumba yake.Kwa biashara gani aliyokuwa anafanya ikulu?Watetezi wanionyeshe nyumba ya kupanga hayati jk Nyerere.Unakumbuka azimio la Arusha?
Ben wa ANBEN naogopa kusema afadhali waendelee kuficha vichwa vyao chini ya mchanga.
Sasa wamemrudisha mtuhumiwa wa vimemo vya EPA ,pathetic
 
Mangula atuambie anataka kuiangamiza kambi ya nani kwa maagizo aliyo pewa na mwenyekiti maan kuhusu swala la rushwa atabaki yeye huwezi kumpata mtoa rushwa ukamwacha mpokeaji kwahiyo hawezi kuifuta ccm ajiandae kuondoka
 
Baada ya jana kutamka kuwa anatoa miezi sita kwa waliogawa rushwa kupata uongozi CCM kujisalimisha,Makamu wa Mwenyekiti wa CCM-Bara,Phillip Mangula amesema kuwa hana uhakika kama ataweza kufanikisha alichosema. Mangula aliyasema hayo 'off record' nilipokuwa nikizungumza naye kuhusu uwezekano wa kufanikisha alichokisema Mkutanoni jana.

' Wenzangu walitoa miezi mitatu ya kuvua gamba wakashindwa.Sijui kama mimi nitaweza Mzee Tupatupa.Sijui...lakini nitajitahidi kusimamia nilichokisema. Nina 'support' ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu.Nawaamini sana' alisema Mangula akionesha sura ya wasiwasi.

More to come!

Sikujua kama Chadema kuna watu wanavipaji vya kutunga riwaya namna hii nilidhani ni Mwanakijiji peke yake naona mnatishia soko la Mwanakijiji; hivi vipaji mngevitumia kunakohusika mngejipatia riziki kubwa tu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom