Unataka kuniaminisha kuwa yeye ndo aliyegundua Tanzanite? Na wakati huo Tanzanite inagunduliwa yeye alikuwa mtumishi wa umma na hakuwa naruhusiwa kumiliki biashara ilikuwaje akamiliki? huoni huo ni ufisadi? We unadhani Nyerere angeamua kubinafsisha au kujilimbikizia mali leo tungekuwa tunaweza kuongelea rasilimali za nchi hii? maana leo tungekuwa kama nchi nyingi tu za Afrika vurugu na vita.
Mimi siwezi kukutajia nani anafaa lakini ndni ya CCM kuna watu 2 ambao wannchi wanapenda sana utendaji kazi wao na ndiyo nguzo ya CCM kwasas kwani hata wakitaka kuongea mafanikio ya serikali ya JK lazima Wizara zao utazigusa, CDM yupo wananchi wanimani naye vilevile.
Hata hujui Azimio la Arusha liliacha lini kubana viongozi na wala kutajirika sio lazima uwe mgunduzi mbona mgunduzi wa tanzanite ni lofa wa kutupwa hata akiugua hawezi kujitibu hospitali ya private? kuna aliye msafi ccm au ni wapiga kelele tu kama zzk kwa ajili ya ulaji nyuma ya pazia? ukitaka kumjua mtu mwambie akuonyeshe rafiki zake; mwanao kundi lake ni la wavuta bhangi na unajifariji yeye ni msafi? hao mawaziri wako unaodai wanapendwa ni kwa vile wanajua tu kucheza na ujinga wa watanzania wanaoonyeshwa mapichapicha halafu wanakenua meno. Mmoja wa hao mawaziri wako wapiga jalamba aliuza nyumba za serikali kwa bei chee sana sana milioni hamsini tena kwa mkopo; leo hii miaka kumi baadae wahusika wanaziuza hadi bilioni 15 na hivo videni vya milioni hamsini hawajavilipa kuna wizi wa aibu kama huo? manake hata kwenye ufisadi imepitiliza. halafu akachukua nyumba moja akamuuzia kimada wake ambaye hata sio muajiriwa wa serikali hapo napo je? tatizo wanaokaa vijijini hawayajui haya na hakuna wakuwaelimisha kwa kuwa hata wapinzani ndio haophao
Alikuwa natekeleza, agizo la baraza la mawaziri kwahiyo unatakiwa umlaumu Rais wa kipindi hicho, mbona kama ni tuhuma kila kiongozi anazo wengine walituletea IPTL, RICHMOND, na kashfa nyingi kibao sasa, si bora yule aliyetekeleza amri ya baraza la mawaziri? Mbona huyo unayemtetea alikuwa PM na nyumba hakuzirudisha?

Hatutaki kiongozi aina ya jk tena,bora lowassa mara mia anayesimamia kila anachoa amini,siyo kiongozi ndani ya nchi kunafukuta anapanda ndege na kwenda nnje,rais anaye dharauliwa na aliye wateua na asiyekua na misimamo,tunataka rais mchapa kazi,mcha mungu,atakayeunganisha watz wote
Alikuwa natekeleza, agizo la baraza la mawaziri kwahiyo unatakiwa umlaumu Rais wa kipindi hicho, mbona kama ni tuhuma kila kiongozi anazo wengine walituletea IPTL, RICHMOND, na kashfa nyingi kibao sasa, si bora yule aliyetekeleza amri ya baraza la mawaziri? Mbona huyo unayemtetea alikuwa PM na nyumba hakuzirudisha?
Inaelekea unaongea ili kusikia mlio wa sauti yako; kwahiyo kwa kuwa EL hakurudisha hizo nyumba automatically makufuli anakuwa msafi na anakuwa kipenzi cha watu I can't see the logic here. Kwanini hakujiuzulu kuambiwa na baraza afanye utekelezaji wa kifisadi? mbona hujajibu kuhusu yeye kuwa rafiki wa maharamia na anaendelea kufanya nao kazi? Kama anachoamini ni hicho anachokitekeleza sasa je akiwa raisi atatenda tofauti? unaongea vitu hata logic havina

We kama unataka kumchafua mchafue hafu ukitaka kujua utamu wa ngoma icheze, waende wote wakagombee na huyo jamaa asihonge wajumbe uone kama ataweza kupita, Sipendi tena kurumbana na wewe nadhani kalumbane na viongozi wenu wa Chama ambao wameonesha msimamo wao.

Hakuna kiongozi yoyote mwenye pesa atakayeweza kuwakomboa wanyonge bila kujalisha anatoka chama gani na kwa kuwa hakuna chama chochote chenye kiongozi masikini asiye na cha kupoteza ila roho yake wote hawafai; huyo EL ni samaki tu mwenye harufu kama wenzake ila nafuu nafuu angalau atafanya kazi inayoonekana hata kama sio kumkomboa mnyonge kiukweli. Hao vidampa wako choka mbaya unaowataja ni mvua za msimu wala hawana lolote makufuli mpeleke elimu au jinsia na watoto kama hutakuwa umemmaliza.

Kama anafaa, Mbona wamasai wanazurura nchi nzima si angewajengea, malambo wakatulia sehemu1? Monduli angeifanya iwe Nevada ya Tanzania? Hata kama wewe unapesa tamaa haiwezi ikakufanya uwe kiongozi mzuri, haya na zile Ranchi alizojigawia utasemaje?

Naona wewe sasa unakuwa hysterical; mimi nimesema El ni samaki mbovu kwa kuwa nayeye rafiki zake ni hao hao hajajitenga nao halafu tena unauliza eti kauza malambo nimesema ni msafi? suala la wamasai atawawekaje subiri achukue nchii ndipo utaona au unataka akashikane mashati na mawaziri wenye zamana za ardhi, mfugo, kilimo, maliasili, nk? subiri ashike usukani aisee hatujengi madaraja kurudi nyuma tunakwenda mbele

Wewe jamaa yangu unakuwa kama uko ndani ya chupa; ni lini nchi hii na kwingineko duniani sanduku la kura limepata kuwa na nguvu? ni kwanini basi watu wanapigia kelele tume huru za uchaguzi? mantiki iko wapi kura milioni tatu kumuweka madarakani raisi atawale watu milioni arobaini? hiyo ndio kura unayojivunia? hizi ni enzi za money power na mwenye pesa atamtawala mnyonge siku zote kwa njaa yake. Pesa ndio mtutu pekee wenye mlio sahihi mbele ya masikini; watu hufukarishwa makusudi ili watetemekee buku mbilimbili za kununua hati zao za kupigia kura.
Ndo maana nimekw=uandikia labda mtutu wa bunduki hujui kuwa unaweza ukawa rais majeshi siyo wananchi, hujui kuwa watu wanaweza wakakunyima kura, jeshi likakulinda na kuuwa wanaopinga ushindi wako?, Nadhani somo la Kenya 2007-08 limekuingia akilini.

Mimi naongelea mtutu wa pesa wewe unaongelea mtutu wa bunduki; mimi nasema sanduku la kura ni kiini macho silo linalotia viongozi madarakani wewe unasema kura za watu ndio hatima ya viongozi tutaelewana kweli? Inaonekana huwajui kingmakers na kwamba katika dunia hii nani anaamua nani atawale na nani asitawale. Mengine yote hayo sijui kura sijui mtutu wa bunduki ni viini macho tuuuu masikini wajione nao ni sehemu ya gem

Iwapo taarifa za mangula ni za kweli, basi kuna haja ya chama makao makuu kujipanga upya kimtazamo na kimsimamo kwani miezi michache iliyopita, iliripotiwa kwamba naibu katibu mkuu bara alitamka wazi kwamba kwa ccm 2015, hakuna kama Lowassa. Hali hii ikiachwa iendelee, itachanganya wananchi, na mbaya zaidi, chama hakitaweza fika salama 2015 kikiwa kimegawanyika kimtazamo na kimsimamo juu ya suala la mchakato wa kumpata mgombea urais (ccm) 2015. Pengine kuna haja ya kupangua tena sekretarieti ya chama mapema iwezekanavyo, lakini muhimu zaidi, ccm kufanyia mabadiliko kanuni na utaratibu wa kumpata mgombea wa urais kwani utaratibu na kanuni zilizopo zomepitwa na wakati na zilikuwa relevant enzi ya mfumo wa chama kimoja. Wananchi wanahitaji kuwajua mapema wale wote wenye nia ili wawapime. Barrack Obama alitanganza nia miezi 21 kabla ya tarehe ya uchaguzi mkuu. Kwa terehe ya leo, imebakia kipindi karibia na hicho kabla ya taifa kuingia kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Mangula makamu mwenyekti wa CCM Taifa amepigilia msumari mkali kwenye ndoto ya Edward Lowassa kwa kumwambia bora aondoke kwani hata simamishwa na CCM kama mgombea wake wa Urais kwani matendo anayofanya yanampoyezea sifa ya kuwa mgombea wa CCM labda chama kingine!
Unaweza kusema sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kumfungia kazi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa baada ya jana Makamu Mwenyekiti wake (Bara), Phillip Mangula kusema kuwa wanachama wake walioanza mbio za kuwania urais mwaka 2015 watachukuliwa hatua kali za kinidhamu.
Mangula alisema kama wanachama hao wasipochukuliwa hatua watakifanya chama hicho kupoteza mvuto katika medani ya kisiasa nchini;
Wapo watu wanataka waichanechane CCM kwa sababu ya uroho wao wa madaraka, uroho wa udiwani, ubunge na hata urais. Kuna makundi ndani ya chama kazi yake ni kuwabomoa wenzao, kamwe hatuwezi kuyafumbia macho.
Akifafanua hilo Mangula alisema: Tutawaita wote walioonyesha nia ya kuutaka urais 2015 na kuwahoji kwanini wanafanya hivyo wakati muda bado haujafika. Tumeshawachunguza katika mikutano wanayoifanya, tumebaini kuwa wanatoa misaada na kusafirisha watu, tunajua dhamira yao ni nini.
Mangula ametoa kauli hiyo ikiwa imepita siku moja tangu Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye kusema mwanachama yeyote wa CCM anayetangaza nia ya kuwania urais kabla ya muda mwafaka kutangazwa atapoteza sifa za kugombea.
Nape alitoa kauli hiyo baada ya Lowassa siku mbili zilizopita, kutangaza nia kimtindo akisema anaanza rasmi safari aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake, ambayo pia itatimiza ndoto za Watanzania za kupata elimu bure, maji safi na maendeleo ya uhakika.
Lowassa ambaye amekuwa akitajwa kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya urais kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, alitoa kauli hiyo katika ibada ya shukrani ya kuupokea mwaka mpya, katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Monduli.
Mangula aliwashukia vigogo wa chama hicho wanaoutaka urais jana katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya Kamati ya Siasa tawi la Ofisi ndogo za chama hicho Lumumba, wakati akitoa salamu za mwaka mpya kwa wanachama wote wa CCM nchini.
Ataja kanuni za uongozi
Katika mkutano huo Mangula alisaidiwa kusoma kanuni za uongozi na maadili ya chama hicho, kutolea ufafanuzi mambo mbalimbali na Katibu Tume ya Udhibiti wa Nidhamu ya Viongozi wa CCM na wanachama taifa, Masoud Mbengula.
Moja ya kanuni hizo inasema Ni mwiko kwa kiongozi wa CCM kutumia dini yake au kabila au rangi au jinsia au eneo analotoka, kama sifa ya kushawishi wapiga kura wamchague ama yeye mwenyewe ama mgombea anayemuunga mkono.
Mangula alisema kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mwanachama anayefanya mambo kinyume na kanuni huitwa msaliti na hafai kuendelea kufumbiwa macho kwani anaweza kukiangamiza chama wakati wowote.
Ccm wanashangilia mechi ya Chadema na kuwaadabisha wananchama wake ....Wakati ccm yenyewe Ina tatizo kubwa Sana la ukosefu wa nidhamu ya kichama ambayo Kama wataataka kufukuzana kuanze mwaka 2015 itakuwa too late...
Mkuu naona hapa kumekucha, nimemsikia Mangula Ch 10 lakini makundi yamelelewa tangu 2005 hadi leo yameshakita mzizi ndo maana hatawananchi tunaimani naye lakini ile miezi sita iliyotoa kwa watu kuondoka amabao ni wachafu imeshavuka sijui itatokea lini.
huyu mzee hajakoma tu watamrudisha akalime nyanya , wenzake wanamtanguliza awe chambo , chezea team lowasa wewe!!!!, mwenzake nape ana team kubwa huyu hata kundi hana , mzee mangula wenzako wameva life jacket hawazami , wewe utazama

Hahahaa! huyo Mzee msikie tu anaujua uchungu aliotendwa na timu ya wanamtandao kipindi kile 2006 aligombea umwenyekiti wa Mkoa wa Iringa akatoswa kwasasa atakuwa kama binadamu aliyeumwa na nyoka!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.