tatizo la vijana wa lumumba hawajui hata kanuni za chama chao,kumbe kosa la chadema ni kusimamia kanuni tnen kutekeleza mnao watetea wakina ZITTO mko wapi?mbona leo mmekimbia maana nape na CCM yake amesema wanaofanya hivyo ni kinyume cha kanuni za chama,ila kwa chadema iwe si kinyume nawataka leo hapa wakina tuntemeke na ttema mate na sixgates