Imagine ana kigugumizi ππ pengine ndio maana kwenye kuandika yupo 10/10That lady hata humu alikuwepo ilikuwa Moto wa kuotea mbali Nyuzi zake Views 2M per dayπ€£π€£
Story za madada wa mjini πππNikikumbuka uturn enzi hizo hatari.
HahahaImagine ana kigugumizi ππ pengine ndio maana kwenye kuandika yupo 10/10
Aliacha umbeya, akaipiga siasa ila alivyorudi kwenye umbeya kwa kutumia app. Bado akawa vizuriwasi wasi wangu ni kwamba hata kama akaunti yake ikifunguliwa tena leo sidhani kama itakuwa moto kama ilivyokuwa mwanzoni na sababu kubwa ni jinsi nature ya binadamu ilivyo, hiyo gap ya kuwa offline ni kubwa kuja kuirudisha wengi walisha move on.
atakuwa na kazi ya ziada kurudisha old glory days, it will never be the same again kwa maoni yangu ...
Aliacha umbeya, akaipiga siasa ila alivyorudi kwenye umbeya kwa kutumia app. Bado akawa vizuri
Alipoteza account ina watu 7 million.. Akaanza siasa tena kwa account nyinginr ya watu m1,
katikati ya miezi miwili mitatu akafikisha followers zaidi ya 2.5 nadhani. Yani ongezeko lake la followers (1.5) kuna wasanii hawana hiyo number kwa career ya miaka mingi
Unachosema kinaweza kutokea ila Mange ana influence sana na anachokifanya. Ni wachache wanaweza kukifanya ndio maana presence yake mtandaoni inaogopeka
Kweli kabisa! Namuombea Maisha marefu aje kuiona Tz anayoitaka.Mdada anajiamini sanaaaa....
Ana akili mingi hyo uje na hoja nzito kupinga hilo
Ana exposure ya hali ya juu...
Ana misimamo
AminaaKweli kabisa! Namuombea Maisha marefu aje kuiona Tz anayoitaka.
Kwenda huko choko weweASANTE KWA KUITANGAZA TANZANIA KWA MABAYA LAKINI ELEWA DUNIA ITATUPOKEA KWA MEMA!.....YALIYOPO TANZANIA!..
π π π π π π π π π πASANTE KWA KUITANGAZA TANZANIA KWA MABAYA LAKINI ELEWA DUNIA ITATUPOKEA KWA MEMA!.....YALIYOPO TANZANIA!..
Mwanamke anayeishi LA hawezi kuwa Hana akili za kutoshaMdada anajiamini sanaaaa....
Ana akili mingi hyo uje na hoja nzito kupinga hilo
Ana exposure ya hali ya juu...
Ana misimamo
Yuko tofauti kabisa na yule mgonjwa wa akili maria sarungi na yule mkurupukaji hilda newtonnadhani ni mmoja wa wanaharakati anayejua nini chakufanya muda gani na wapi gani na kwa watu gani, hakurupuki kabisa
Hongereni sana kwa kila jitihada mnazozifanya dhidi ya wauaji mashetani, zinazolenga kutetea haki za binadamu wenzenu.Acha kufanya assumptions.
Hujui kazi ambazo baadhi yetu tunazifanya huku nyuma ya pazia kuhakikisha Samia na wauaji wenzake wanawajibika.
Sina haja ya kuja hapa na kutangaza kila kitu.
Kwenye maelezo hajasema anataka kulipwa/damages, yeye anataka nafasi(space) aweze kuitumia haki ya free speech kwa ukamilifu.Njia za MUNGU hszichunguziki maana yeye pekee ndiiye anajua safari ya maisha yetu hapa duniani....mange anaenda kulipwa pesa nyingi Sana baada ya kushinda kesi
Vipi akishindwa?Njia za MUNGU hszichunguziki maana yeye pekee ndiiye anajua safari ya maisha yetu hapa duniani....mange anaenda kulipwa pesa nyingi Sana baada ya kushinda kesi
Dogo unaonekana kituko humu, ushauri wa kiume kabisa : USIWE UNAPARAMIA I'DS ZA WATU KINDEZI. Nina experience na hili jambo miaka 13 iliyopita. FULL STOPWewe unahisi join date ndo kigezo?
Au unongea kujifurahisha?
ππππDogo unaonekana kituko humu, ushauri wa kiume kabisa : USIWE UNAPARAMIA I'DS ZA WATU KINDEZI. Nina experience na hili jambo miaka 13 iliyopita. FULL STOP
Kwamba ulitekwa? πDogo unaonekana kituko humu, ushauri wa kiume kabisa : USIWE UNAPARAMIA I'DS ZA WATU KINDEZI. Nina experience na hili jambo miaka 13 iliyopita. FULL STOP