Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 9,399
- 34,654
Yule Mwanamke kampenda yule Mwanaume hata ukiangalia mahojiano yake alikuwa ana tamani Van amrudieMtanga nae kwani kilimuondoa nini na kinamrudisha nini bwana na kiuno chake kigumuuuu!!!! Hebu amuache mtoto Paula ajilie vyake