Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Paula kwenda nje kumemfanya van arudishe mpira kwa kipa.....

Ila kile kimwanamke ni king'ang'anizi yani hakikubali kuachika ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Enzi hizo akiwa na Van boy alikuwa anajiona ana K ya peke yake akihojiwa sasa โ€œVan awezi kuniacha mara Van nimezaa naeโ€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kimebadili dini lakini wapii Mwanaume wa kumlia yamini ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Enzi hizo akiwa na Van boy alikuwa anajiona ana K ya peke yake akihojiwa sasa โ€œVan awezi kuniacha mara Van nimezaa naeโ€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kimebadili dini lakini wapii Mwanaume wa kumlia yamini ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Alikuaga anajiona pizza fahima ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mashauzi aaagrr, ila namsifu kajitahidi kuwa strong mbele ya dunia hajaonesha stress angekua ni mwingine hadi angechakaa, nadhani sahivi adabu itakua A+
 
Alikuaga anajiona pizza fahima ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mashauzi aaagrr, ila namsifu kajitahidi kuwa strong mbele ya dunia hajaonesha stress angekua ni mwingine hadi angechakaa, nadhani sahivi adabu itakua A+
Na paula akirudi kama kawaida anarudisha majeshi๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Paula alifeli form four, uturuki labda kaenda kusomea cherehani.
kazi ni kazi mzee, wapo wasomi huko ulaya na wanashona nguo,ku fail form four sio kitu chochote,anaweza fail ila huko akaendelea mpaka degree
alafu ufundi nguo unalipa Ulaya,kuna bwana anaitwa Alfons Mertens,alikuwa analipiwa nauli ya ndege kutoka Belgium to Zaire,go and return ticket na Rais Mobutu sese seko kwenda tu kumpima rais na wasaidizi wake then anarudi Ulaya kwenda kushona nguo,huyu mtu mshahara wake aliwazidi hata ma boss wa makampuni huku kwetu
 
Mange zamani alikuwa akilikisha habari zako inabidi uitishe hadi press conference kuweka hali sawa.
 
Jamani Kuna vitu vingine mtu unajitakia kusemwa vibaya mfano hakuna mwenye ushaidi kuhusu tuhuma za kulalwa kwa ndugu yetu b ..kumi na mbili ..ila naye life style inachangia watu kumsema vibaya...chanza Cha yeye kusemwa vibaya ni kuwa umri umekwenda bila kuoa...nimeanza kumsikiliza tangu mwaka 2003 nikiwa darasa la tano..mpaka leo ni mtu mwenye 40+ Ana kila kitu nyumba ..gari ..kazi mzuri Cha ajabu anamke Wala mtoto..sijui wazazi wake wanajisikiaje..hii tofauti na tamaduni zetu ..hata professa Jay alipochelewa kuoa alizushiwa kuwa na ngoma...so namshauri ndugu dazani aoe na akumbuke yy ni mtu mzima aache kuvaa vinguo vya kubana...na abadiri mfumo wa maisha.
Yule mtoto aliyekuja kutupiwa studio kwani sio mwanae!?
 
Serious??? Namuonea huruma Paula....
huruma tena?muache apambane na wanaume wa Wasafi ndo atajua hajui!
Leo insta fahyma yuko na mwanawe anamuuliza tuko na nani,usiku huoo kanajibu 'na baba'...aliambiwa Paula akawa anaona watu wanamuonea wivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom