Mange Kimambi: Paula Kajala hajaenda Uturuki kusoma, anafanya kazi Airbnb

Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
843
2,517
Bongo nyoso kweliiii.

Hawa ndio mastaa wetu ambao tunasema ni vioo vya jamii. Lakini their life is fake to the ground.




Paula is an innocent beautiful little girl. Ila anakuwa let down na watu wazima. Na nnamuita little girl sababu she is the same age as my daughter Cassandrah

Jamani Paula wala hasomi huko Uturuki. Wamemuweka kwenye apartment za Airbnb. Mtoto ana kazi ya ku-hangout tu kwenye viwanja vya starehe. Wabongo wanamuona tu kwenyw restaurants. Hakuna cha chuo wala nini.

I think ni vile mtoto wa Mona alivyopelekwa chuo nje ikabidi tu wamuondoe Paula Dar ila ili watu wasiongee. Paula sio mwanafunzi wa chuo chochote huko Uturuki.

Paula hana makosa ni mtoto, ila hana tu watu wakumuongoza. Kweli mtoto wa 19 years unampeleka nchi ya nje unambwaga kwenye furnished apartments anaishi tu peke yake no shule no nothing ? Hayo maisha atayakimu vipi? Si ndo atajikuta anaingia kwenye maisha mengine?

Walichokosea Uturuki kuna watanzania wengi sana. Na wote wanajuana. Wangempeleka nchi haina watz habari zisingerudi kwa dada wa taifa


mangekimambi_-20211107-0001.jpg
 
Ni amini mimi. Hiyo PR ya Mange app. Paula anasoma chuo. Hiwezi kupata visa Uturuki bila confirmation ya chuo unakoenda
Masha na Muna walipata confirmation toka chuo gani hapo Uturuki? China, India, UAE (Dubai) na Uturuki visa rahisi kupata watu wanaenda kuuza vipochi waje kununua IST na iPhone. Wakisingizia biashara ya viduka feki sinza.

***India wahindi hawana nguvu ya ku-push (wamezoea kukalia mipini) dada zetu wanawapanga hata 100 kwa siku. Hela nje-nje Huko kwa wapenda pilipili. Kama una ndugu yako India chunguza vizur
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom