babake nasreen
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 703
- 492
Kisa tuu chama kile kile ndo unamchukia mange?Samahani kukukwaza, natumaini wewe ni mwanamme uliokamili na unajitambua. Inakuwaje inafuatilia masuala ya changudoa asiye na faida na taifa na asiyejitambua? Mwanamme mwenzangu, uko sawa lakini? Jichunge usije ombwa kushikishwa ukuta, ohooooo, usiseme sijakuonya.
Mange mpinzani pekee asiye na chembe ya woga wa uhai wakeHadi humu mpo ambao chanzo chenu cha habari mange? Kweli watanzania wengi viazi
Kama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
UmeonaeeMwanaume kumfuatilia Mange ni dalili ya uchakula.
Kuwa bwabwa mpk umfatilie mange? Au unataka tukuonyeshe mfano ww uwe bwabwa?Kumbe na wewe unamfatilia? Basi wewe ni bwabwa kabisa.
ni mjinga mjinga mmoja anayewapelekesha puta watu wa ufipa.Hivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi
Ujue huyo hajitambuiMwanaume kumfuatilia Mange ni dalili ya uchakula.
weeeeeeeeeee najua unaandika kwa aibu sana hapa ulipo kifupi mange anaihanyisha hii serikali balaa sema haina cha kufanya laiti angekuwa hapa angeshauwawa kama nanihiiKipo kingi hakika. Mtu makini hawezi mfuatilia wala kumchukulia Mange seriously
hahaha habari zote za mange zinaihanyisha serikali anzia ile ya daudi bashite kwani takukuru wamemuitia nini christian makonda kumuhoji si mange ndo alimlipua daudi bashiteHahahaha kwa kweli!
Umejuaje huko kwa mange kama kuna uchoko kama hujamfollow??Mbona hapa jf kuna habari za maana yan full information huko kwa Mange dume zima unafuata nn..... Huo ni uchakula tuu uchoko umemaliza vijana hapa nchin
KolomijeWatu wa ajabu wanapatikana wapi?
I usually don't waste my time in speculating Mulhat Mpunga! Mtu anaye nipa hizo habari huwa naangalia character yake! Kwa hiyo siwezi kubishana na wewe pia, let us agree to disagree bye byehahaha habari zote za mange zinaihanyisha serikali anzia ile ya daudi bashite kwani takukuru wamemuitia nini christian makonda kumuhoji si mange ndo alimlipua daudi bashite
hahaha idiot,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ati dont waste ur time unajipotezea mwenyewe hiloo kjI usually don't waste my time in speculating Mulhat Mpunga! Mtu anaye nipa hizo habari huwa naangalia character yake! Kwa hiyo siwezi kubishana na wewe pia, let us agree to disagree bye bye
Mkuu Signature ya ukweli.........The low information crowd my friend...
Mbona naona neno chakula sioni fact yako ya msingi ni ipiKama zipi hizo sijawahi sikia chochote cha msingi kapatia zaidi ya udaku na umbea na mijitu mijinga inaamini. Mwanaume Lazima uwe chakula kumuelewa huyo demu
Wewe uchi wewe una habari gani au wewe ndo naniriyuu?Samahani kukukwaza, natumaini wewe ni mwanamme uliokamili na unajitambua. Inakuwaje inafuatilia masuala ya changudoa asiye na faida na taifa na asiyejitambua? Mwanamme mwenzangu, uko sawa lakini? Jichunge usije ombwa kushikishwa ukuta, ohooooo, usiseme sijakuonya.
Siku utakayokanyaga katiba ndio utamjua kwa undaniHivi Mange ni nani? namsikia sikia sana siku hizi